Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kama ilivyotarajiwa. Partey karudi RB. DM kawa Jorginho, kwa kujua kwamba jamaa ni slow imebidi Rice aanzishwe. Hii yote ni kuhakikisha blunder ikifanywa na Nwaneri defense coverage ipo.

 
Chelsea kasuluhu.

Lakini hakuna atakayeshangaa.

Nikisema standards naambiwa naongopa.
 
Ingawaje Odergard mechi za hivi karibuni anazingua lakini hatuna mchezaji mwenye maamuzi ya haraka na akili kumzidi akifika kwenye final third. Timu inamuhitaji kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…