Labyrinth 84
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 1,106
- 3,187
Spurs hajawahi kuwa bottlers, real definition ya bottlers ni ARSENAL kila mmoja anajua hilo mbona unatumia kivuli cha spurs kujificha humo kaka
Bottlers is team that starts well but ends the season in poor form due to mistakes or to throw away a lead or a good chance of winning when you've been on the front foot.
Spurs hayupo kwenye bottlers nitajie mwaka ambao ni spurs ame “ bottle” kwanza hajawahi kufanya ivyo ila arsenal hapa naweza kukutajia zaidi ya miaka 12. THE REAL DEFINITION OF BOTTLERS NI ARSENAL.

Mimi mtu akiwa muongo namchekecha hapo hapo. So nakupa evidence recent nyingine halafu nakuacha.Nakupa hii na hio ndio gemu pekee arsenal katanguliwa kufungwa then akashinda kama ipo nyingine itaje hapa , zipo gemu katangulia ndo ikaisha kafa zaidi ya mmoja .
Hii ndo game ya kwanza lakini unataka ionekane kama ni kawaida yenu
Mimi mtu akiwa muongo namchekecha hapo hapo. So nakupa evidence recent nyingine halafu nakuacha.
Game dhidi ya Crystal Palace kwenye EFL 24/25 Arsenal inaanza kuongozwa na Palace kwa goli la Mateta la dakika ya nne. Mechi inaisha Arsenal kashinda 3 - 2.
Mechi ya ligi dhidi ya Southampton. 05th October 2024 Southampton inaanza kupata goli dakika ya 55 kupitia kwa Archer.Mimi naongelea EPL sio hizo bonanza games. EFL matches za kujifurahisha hizo thats why most of the team wanaweka kikosi mbadala.
Turudi EPL tofauti na game ya juzi hakuna game mshawahi kufanya ivyo.
Game na Newcastle mlitiwa chuma dk za mwanzo ngoma ikaisha ivyo ivyo, Bournemouth pia fulham ngoma ikaisha kati .
Umesikia arteta alichosema “We as Arsenal in the last year we have been the best team in the league, broke various records and still haven't won a major trophy!”.
Yaani jiulize kama mlikua best na mkaondoka bila kombe lolote , ujumbe anatoa arteta ni kwamba inaitajika miujiza ili arsenal abebe kombe na si best form.
Ila fanyeni hata kitu wanangu wa zamani mnasikitisha mpaka huruma nawaonea mimimsimu huu nawaombea mema.
False hoper mkuu mpaka jukwaa kalizira kabisa saivi yupo kwenye masuala ya israel na palestina huoni ni huruma hii.
Tukikaa vibaya hata castr , henry sijui mkorea tunaweza kuwapoteza na nyinyi kama alivyopotea mwenzenu mkakimbilia kwenye jukwaa la mahusiano mapenzi na urafiki
Mechi ya ligi dhidi ya Southampton. 05th October 2024 Southampton inaanza kupata goli dakika ya 55 kupitia kwa Archer.
Mechi inaisha Arsenal inashinda 3 - 1
- Una tabia ya kuandika maelezo marefu kwakua hauna uhakika na unachoandika.
- Unahamisha mada unnecessarily.
- Unapenda small victories na cheap thrills.
- Mgumu kuona bigger picture.
Naweza jaribu kukisia yafuatayo:
- You always seek validation
- Stern family upbringing
- Mzazi mmoja alikua responsible zaidi kwa makuzi na malezi.
Arsenal kapoteza mechi 2. Wewe hizi tatu umezitoa wapi?haya yote yanatoka wapi mkuu, game 2 kati ya game 5 ulizoanzwa kutanguliwa ndo umeshinda bado haikuweki kwenye hoja na kauli uliyotoa mwanzo.
Mimi nimekuonyesha zaidi ya game 3 ulizoanza kufungwa na ukatoka patupu nikimaanisha kauli yako si kweli.
Ukileta game 2 tu kama ndo utetezi wa hoja yako bado utakuwa unakosea .
Chelsea ana comeback 2, man utd 2 na arsenal nae 2 sasa kauli uliotoa technically ni kama arsenal ni master wa comeback vile wakati si kweli.
Team pekee ambayo hata ikifungwa watu hawashtuki wanajua itashinda ni liverpool tu game na soton, brighton, Leicester city, arsenal, fulham zote hizo kafanya comeback sasa ww game 2 unataka kuchukua sifa ambazo huna .
Haya ya sijui malezi na stern family achana nayo . Upbringing yangu imetoka kwa wazazi ambao walikua wanapendana reasons na sababu zenye mashiko zaidi. Ni kweli tangu nasoma kipindi hicho nilikua napenda mijadala zaidi kuliko chochote kile hata shule walikua wananiita mbishi . Mabishano nayapenda siwezi kukataa tena yawe ya kujenga hoja zaidi .
Lakini sasa mzee kukuchalenge kidogo tu mzee unakimbilia kwenye vitu visivyopo kabisahuna ustamala mzee wangu anapenda kusema ivyo . Argument iwe argument usikimbilie kwenye personal attack , personal attack ni dalili ya kushindwa.
Yote kwa yote vipi kombe mnachukua ?? Naona saivi unalikataa kabisa ila ni maombi yangu mlichukue wanangunipo pamoja nanyi .
Ukiona mwanaume anaandika ujumbe na miemoj mingi ujue ni SHOGAMimi naongelea EPL sio hizo bonanza games. EFL matches za kujifurahisha hizo thats why most of the team wanaweka kikosi mbadala.
Turudi EPL tofauti na game ya juzi hakuna game mshawahi kufanya ivyo.
Game na Newcastle mlitiwa chuma dk za mwanzo ngoma ikaisha ivyo ivyo, Bournemouth pia fulham ngoma ikaisha kati .
Umesikia arteta alichosema “We as Arsenal in the last year we have been the best team in the league, broke various records and still haven't won a major trophy!”.
Yaani jiulize kama mlikua best na mkaondoka bila kombe lolote , ujumbe anatoa arteta ni kwamba inaitajika miujiza ili arsenal abebe kombe na si best form.
Ila fanyeni hata kitu wanangu wa zamani mnasikitisha mpaka huruma nawaonea mimimsimu huu nawaombea mema.
False hoper mkuu mpaka jukwaa kalizira kabisa saivi yupo kwenye masuala ya israel na palestina huoni ni huruma hii.
Tukikaa vibaya hata castr , henry sijui mkorea tunaweza kuwapoteza na nyinyi kama alivyopotea mwenzenu mkakimbilia kwenye jukwaa la mahusiano mapenzi na urafiki
Arsenal kapoteza mechi 2. Wewe hizi tatu umezitoa wapi?
Sijafanya personal attack. Nimehisi personality yako kutokana na maandishi yako.
Psychopath liar. Unajua kabisa kitu siyo kweli ila hicho hicho unakipresent kama ukweli. Kisha unasingizia ni unamchallenge mtu. Why? Coz you seek validation na small victories.
Kuna tofauti ya kujenga hoja na kuandika uongo. Naweza jenga hoja na yeyote, nikakubaliana katika anachosema au nikapinga, ila mtu muongo hua naacha aongee na wengine.
Hizi tabia hua naziona kwa mashabiki wa mpira wa Tz. Unabisha timu haijawahi kuanza kuongozwa, unatajiwa mechi unasema hilo siyo kombe kwenye ligi hajawahi unatajiwa nyingine unahamisha magoli.
Ukiona mwanaume anaandika ujumbe na miemoj mingi ujue ni SHOGA
Tayari washanyooshanaNewcastle tangu wagundue hii mbinu ya kumuweka namba 6 Tonali wamekua wanatembea sana.
Jamaa mmoja wa nyumbu akaandika "Yaani sisi tumewekewa wahuni wawili wa America ya kusini (akimaanisha Bruno na Joelinton) na mkamaria mmoja (akimaanisha Tonali) kisha sisi tukapeleka matatizo"
In all seriousness kitakachowatesa Spurs ni kipa (ingawa leo kambadilisha Forster) na defense kisha ishu za MID zinakuja baadaye. Na shida nyingine ni Ange kukomaa kwamba yeye habadiliki anavyocheza. So ameopt kutumia speed kuwin hii game.
Ameweka forwards ambazo zina pace na fullbacks wenye pace pia. Ila mid naona anafanya majaribio.
Funny issue ni kwamba Newcastle akishinda anajiweka nafasi nzuri kumchomoa kenge alipo. Spurs na Kenge ni watani pia so itakua ni matusi akatumika kama daraja.
Usually mechi yao hua intense. Mwenye muda aiangalie
Kijana wetu Eze atuwakilishe vema. Hivi tunaweza kumnunua tena Eze?Time to hatewatch kenge
Ila ana majeruhi huyu jamaa ingawa ni mzuri kiukweliKijana wetu Eze atuwakilishe vema. Hivi tunaweza kumnunua tena Eze?