Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,385
Umenikumbusha mbali saana, nahisi ubishi ulianzia kwangu, kwakuwa mie sipendi pendi ligi nikaamua nivunge tu ๐คฃ๐Hahaha ni Will Jr
Alisema anabahatisha. Nahisi umehisi ni mimi coz niliwahi argue naye juu ya hilo na ikawa points nyingi za kumpinga anatoa kwenye page nonewith
Sare!!!!!? Sare haiwezekani, kitambaa hakitoshi ๐คฃ๐Brentford tunazingua sana aisee, Ngoja tupambanie ht sare tuu ๐ญ
Sub nzuriIn response Arteta anafanya sub tatu
Anaingia Rice, Trossard na Myles. Anatoka Merino, Calafiori na Nwaneri
Mnacheza na nani mechi ijayoBrentford tunazingua sana aisee, Ngoja tupambanie ht sare tuu ๐ญ
Tutacheza na SouthamptonMnacheza na nani mechi ijayo
๐๐๐๐๐ cash money nafurahi sana hivi unavyotaka uongezewe hela kwa wachezaji wa chelsea๐STERLING ana matatizo ya kiufundi, soon mtaona moto wake. Wazee tuongezeni angalau pesa kidogo kwa Sterling mashine ya kazi. Acheni ubahili basi
Arsenal ipi hii ya sasa?? mmh!!! ila sishangai maana false hopers suala la kuamini kwenu ni suala mtambuka๐.Arsenal ni timu ambayo inaaanza kufungwa na unaamini itashinda
Umeandika maelezo marefu ila haujasema kama baada ya kutangulia kufungwa leo Arsenal imeshinda au imefungwaArsenal ipi hii ya sasa?? mmh!!! ila sishangai maana false hopers suala la kuamini kwenu ni suala mtambuka๐.
The last time nilikua false hoper ile ndo ilikua arsenal mazee ivi kombe mlikosa vipi nyinyi daah!
Yaani arsenal ilikua inatisha mpaka Christmas watu wote wakakubali acha false hope ichukue kombe maana mpira ulikua unapigwa hatari yule zinchenko kama sijui inverted nini vile ๐, jesus yupo moto.
Gemu na Bournemouth , man utd uwanja ulikua umeinama mpira unapigwa haswa mwanangu bukayo ananitesea luke shaw .
Mwisho wa siku ikawa false hope nikaona hapana inatosha hizi false hope for 20 years zimezidi.
Arsenal ya sasa mmepoa sana kuanzia wachezaji mpaka mashabiki๐๐๐๐ yaani mpaka hamis kakacha unafanya mchezo.
Castr ukimwambia Arsenal bingwa lazima akukatae saivi, zincheko mmepeleka wapi na lile ball lenu la inverted midfielder mzee .
Leo nimeangalia mpira wenu naona mnarukaruka tu