Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,385
Sterling, footballing ability aliiacha liverpoolHivi Steringi toka amekuja mchango wake binafsi sijauona yaani ule Moto wake sijauona au bado hajajaa kwenye mfumo?
Rashford na Garnacho wanaweza kupatikana January au kiangazi. Dani Olmo na Pau Victor same scenario.
Kuna mashabiki wa Arsenal wanasema ikiwa Rashford atakubali mshahara upungue au united ilipe atakua rotational player mzuri hapa Emirates.
Mechi dhidi ya Newcastle au Brighton ilimuonyesha mchezaji mvivu mpaka ikatengenezwa meme. Rashford alikua anajog in circles with no desire kuengage kuchukua mpira. Garnacho kwenye mechi iliyopita waliyopigwa tatu alinyang'anywa mpira badala ya kunyanyuka aengage akawa anaweka vizuri soksi.
Wapinzani wakaongeza goli.
Kuna wakati namuelewa Arteta kwanini anampa namba Martinelli bila kujiuliza. Martinelli atapokonywa mpira ila utamuona anaukimbilia, na hachoki kujaribu.
Pamoja na yote sitashangaa Rashford akija. Why? For years tumekua kama dampo la wachezaji wa timu nyingine, recent example ni Sterling. Ila tushakua na Welbeck, Mkhtaryan, Cech, Luiz, Galas, Willian, Havertz kuna wengine walikua decent na wengine walikua hovyo.
Kama Rashford akija physical demanding ya Arsenal ataiweza?
mwaka mpya tuanze kwa kishindoNwaneri in the house.
With Nwaneri we have a long shot taker same na Merino. I think leo tutaona shots nyingi za nje ya box ukilinganisha na siku zingine.
Hii mechi naona benchi limeamua kushambulia
View attachment 3190177
Naona umekuja kuwanga 😅Mkuu kwenye hio orodha yako umemsahau beki nguli ya soka duniani Mikael Silvestre.
View attachment 3190193
Kwanini king kai hayupo? Kuna taarifa zozote?Nwaneri in the house.
With Nwaneri we have a long shot taker same na Merino. I think leo tutaona shots nyingi za nje ya box ukilinganisha na siku zingine.
Hii mechi naona benchi limeamua kushambulia
View attachment 3190177
Sijaona kokote wakielezeaKwanini king kai hayupo? Kuna taarifa zozote?
Fotmob inaonyesha jamaa anaumwaKwanini king kai hayupo? Kuna taarifa zozote?
Beki mjinga sana huyu..KENGE nyie
Tulizungua sana pale kwenye dili la suarez, 🤣"Wanavuta bhangi pale Arsenal" maneno ya John W Henry dhidi ya Arsenal mwaka 2013.
Jamaa hakukosea
Mmeanza kulaumiana au mmeanza kujitetea?Raya alitarajia Mbeumo atajaribu kucurve kwenye far corner so akatoka ajiandae na hilo akiamini close corner italindwa na Calafiori.
Huyu jamaa ilikuwa roho mkononiMkuu kwenye hio orodha yako umemsahau beki nguli ya soka duniani Mikael Silvestre.
View attachment 3190193