Dah ! Kenge leo tumekula kipondo ,aisee Merry Christmas Arsenyetoz wote duniani , naona mganga wenu anafanya vizuri , mnaroga sana sikuhizi mpaka , Ila kombe hambebi ,mtabeba karai la zege mwisho wa msimu
🤣🤣🤣🤣🤣Castr na genge lako

Hawa Brentford ni wadogo zetu/watoto wetu. Walikuwa ndani ya community projects za Arsenal na tumefanya mambo kadhaa kuwasaidia mpaka wakafika hapo walipo. Hawawezi kuwa wabatufanyia makusudi. Ila Spurs...
Ni m
Ni suala la muda!
kocha mpya bado wapinzani hawajamsoma tactics zake.
Next round watakuwa na wakati mgumu.
Binafsi naamini liver ya klop ilikuwa inatisha kuliko hii ya kipara pesa.