Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hii taarifa ya SAKA kama ni kweli, Nawapa pole sana kwa sababu Arsenal ni timu ya mchezaji mmoja tu SAKA.
 
Everton kafungwa na nyumbu formation ikiwa 4 2 3 1.

Akamfunga Wolves kwa 5 4 1

Akapata suluhu kwa Arsenal kwa kutumia 4 4 1 1

Guess dhidi ya Kenge kachagua formation gani? 🤣🤣🤣

4 2 3 1
Unauhakika against chelsea alitumia formation hiyo? Acha kuchangamsha genge.
 
"Timu gani inategemea kona?"

Saka kaumia
"Timu gani inamtegemea Saka?"

Odegaard kaumia
"Timu gani inamtegemea Odegaard?"

Saliba kaumia
"Timu gani inamtegemea Saliba?"

Hii timu haidai wala haidaiwi na mtu. Kwa level ya local competition haina cha kuprove, watabweka bweka na kujichekesha ila katika hao wengine washasahau kushinda kukoje, wengine nafasi walizopo ni mafanikio makubwa hawakuwaza wakati msimu unaanza.

Wanaingia tu threads za wanaume wanakosa cha kuandika wakimaliza wanaondoka
 
Arteta anasema priority ya kwanza ni kutafuta suluhu kwa kikosi alichonacho. Haoni suluhu kwa kuingia sokoni January hii.
 
Arteta anasema priority ya kwanza ni kutafuta suluhu kwa kikosi alichonacho. Haoni suluhu kwa kuingia sokoni January hii.
Shida ni kikosi kidogo. Akiumia Jesus tunakosa mbadala wa striker/option ya RW. Saka na Sterling wakikosekana wote tunabaki na Trossard na Martinelli tu kwa wings na hao nao watachoka na kuumia.
 
Shida ni kikosi kidogo. Akiumia Jesus tunakosa mbadala wa striker/option ya RW. Saka na Sterling wakikosekana wote tunabaki na Trossard na Martinelli tu kwa wings na hao nao watachoka na kuumia.
Ni ishu imetusumbua kwa misimu miwili mfululizo kwanini kocha hakutaka kuaddress hii ishu? Badala yake akaja na Marquinhos na Kai kisha akawekeza nguvu kwa LB ambao nao ni injury prone
 
Wakati Odegaard ni majeruhi Arteta akaulizwa kwanini asimpe namba Nwaneri akajibu Nwaneri hayupo tayari.

Juzi dhidi ya Everton akamtoa Odegaard mapema na kumuingiza Nwaneri, mchezaji anayesema kwamba hayupo tayari.
 
Ni ishu imetusumbua kwa misimu miwili mfululizo kwanini kocha hakutaka kuaddress hii ishu? Badala yake akaja na Marquinhos na Kai kisha akawekeza nguvu kwa LB ambao nao ni injury prone
Kuna makosa anayafanya ambayo mashabiki tunaona anakosea ila yeye haoni. Anyway, mimi namuacha tu afanye kazi yake.
 
Wakati Odegaard ni majeruhi Arteta akaulizwa kwanini asimpe namba Nwaneri akajibu Nwaneri hayupo tayari.

Juzi dhidi ya Everton akamtoa Odegaard mapema na kumuingiza Nwaneri, mchezaji anayesema kwamba hayupo tayari.
Yule dogo anahitaji kucheza mechi nyingi kama akina Mainoo na Amad ili azoee kucheza kwa level ya juu. Awe anaingia hivyo kwa Odegaard na ikiwezeka awe anaingia kama left 8 ili kumpumzisha Merino na mbadala wa Havertz kwenye nafasi hiyo mara moja moja.
 
Baada ya injury ya Saka hiki kikosi ndiyo cha kutafutia ushindi. Hata mid game mnaweza switch to 4 2 3 1

Tierney bado kidogo. Labda Lewis-Skelly. Na hapo kwa Nwaneri nadhani atakaa odegaard ili Martinelli acheze right na Trossard acheze left.
Kwangu ni ngumu nimuamini Lewis halafu nione Tierney hawezi
 
"Wanaingia tu threads za wanaume wanakosa cha kuandika wakimaliza wanaondoka"

Hao wanaume wenyewe sasa
 
Kwangu ni ngumu nimuamini Lewis halafu nione Tierney hawezi
Tierney anaweza kuhitaji muda kufikia form yake. Pia nina wasiwasi Arsenal style inaweza kuwa imempa mkono Tierney, apendaye kubomb forward na kucross. Kama Trossard hataingia ndani na kumwachia Tierney a- overlap, Tierney anapunguza nguvu kwenye attack. Pia Tierney atakuwa anamhitaji zaidi Havertz kuliko Jesus ili afaidi crosses zake.

Ila zote hizo ni theories. Anaweza kuingia Tierney na akakiwasha balaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…