Nicorandil
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 268
- 760
Rice alikuwa injured, kwa hiyo atapata game time fupi mwishoni. Kai is not that much bad, how many times he has given us important points?Kuna wakati Arteta anafanya mechi inakuwa ngumu kutokana na mahaba yake.. Kai Havertz ahead of Declan Rice ni Big No.. Kwa style hii tutasubiri sana.. Hata Kieran Tierney sioni sababu za kutoanza kwenye hii mechi.. Ni viburi tu vya makocha wa Kihispania
Kuna muda kushikisha mtu adabu unawasha tu chainsaw kukata mgomba ili watu wajuwe hauna utaniWataingia baadae, sio sahihi kukata mpapai kwa shoka
Ni kweli bro upo sahihi kwa upande wa Rice lakini tuna Mikel Merino mwenye Game time ya kutosha angeweza kucheza vizuri kuliko huyu Havertz... Havertz huwa anaonekana akicheza kule mbele akisubiri mipira inayozagaa, lakini kwenye upande wa playmaker hapana aisee.. Ni very slake na hata kwenye Skills sio Gifted kama wakina Ozil.. Anyway, huo ni mtazamo wangu kama shabiki. Pengine kuna kitu Arteta anaona mimi sikioni.Rice alikuwa injured, kwa hiyo atapata game time fupi mwishoni. Kai is not that much bad, how many times he has given us important points?
Inashangaza sana, sijui yule ni shemejie au vipi sijui.Kilio changu jesus aanze kama striker, sawa gabriel kaanza, lakini arteta kamtafutia havertz pa πkucheza
Kai hana mpira wa kumuweka benchi merino ama declan mchele.
Genius wetu huyo babu.Kuna wakati Arteta anafanya mechi inakuwa ngumu kutokana na mahaba yake.. Kai Havertz ahead of Declan Rice ni Big No.. Kwa style hii tutasubiri sana.. Hata Kieran Tierney sioni sababu za kutoanza kwenye hii mechi.. Ni viburi tu vya makocha wa Kihispania
Wanajuana π, maana huu upendo umepitiliza.Inashangaza sana, sijui yule ni shemejie au vipi sijui.
Tunaumia sisi huku Nakapanya.Wanajuana π, maana huu upendo umepitiliza.
Game nahisi itakuwa ngumu hii.Leo biashara asubuhi
Huyu Jesus huyu π πGame nahisi itakuwa ngumu hii.
Mwanetu huyu, anatuheshimisha.Huyu Jesus huyu π π
Arsenal wakiweza kuishinda hii presha yao, tutawapiga nyingi, ila wakishindwa game itakuwa ngumu sana kwetu.Goli halikai tunapachikwa, hiii timu konyo sana maaaamaaaaaeeeeeeee..
Hii CCM wanaita kukupangia majukumu mengine.Unaona sasa kocha wetu alichofanya?
Jesus amescore hat trick ni ngumu kumuacha so kamuanzisha. But nafsi inamuuma Kai kua nje so na Kai kaanza at the expense of what? Our mid.
Kamuweka Partey kati, Rice kala benchi
View attachment 3181823