kuna jamaa alisema metersacker alipokua bayern walikua timu ya pili kwa ku-concede goals last season ila walikua na strikers wazuri... this season bayern wametight sana defence
and santos is good for italian footbal not english, sielewi kwanini walimuachia clichy na yule mibange maana hata huko walipoenda hawatumiki
Yaani hii game tusiposhinda sijui kutakua kuna sababu gani ya WHY NOT????? Hawa Chelsea wepesi sana........ Mistakes za kibwege upande wa ulinzi na Kukosa magoli ambayo haifai kukosa ndo kumetucost in this 1st half..........
Mwacheni Kware Wacha1 sasa hivi anatetemeka kama Simu ya Mchina iki vibrate! namna alivyo sasa hivi ukitumia Charity picha yake basi utapata msaada wa pesa nyingi.