It's funny Arsenal tulishinda tukashangilia tukalaumiwa tunashangilia.The potters leo tutakuwa na kibarua zidi ya Fulham
View attachment 3171833
Ukiangalia 'trend' ya ukuaji wa ufungaji wetu kwa kona, utaona si kwa bahati nzuri tu bali ni kuendana na mazingira tunayowekewa na wapinzani wetu.It's funny Arsenal tulishinda tukashangilia tukalaumiwa tunashangilia.
Tukascore kwa kona dhidi ya City Humble tukaletewa masharti jinsi ya kukaa mbele ya goli muda wa kona.
Tunampuga nyumbu tunalaumiwa kwanini tumempiga kwa kona. Hakuna anayewalaumu nyumbu kwa kushindwa kudefend kona.
Juzi wakati tunascore goli la pili mtafute jana Maguire alikua anafanya nini. Jana wanapigwa na Forest mtafute kijeba Martinez alikua anafanya nini.
Kwenye draft unamfunga mtu anakasirika anakuambia sasa hivi naanza mimi, unamfunga tena. Anakasirika anaanza kukulazimisha usicheze mbuzi kavimba kwakua hajui kuizuia.
Me nawakumbusha kuwa msimu huu mkiwa tena kama netflix waiting for next season basi tutawacheka kwa vingiIt's funny Arsenal tulishinda tukashangilia tukalaumiwa tunashangilia.
Tukascore kwa kona dhidi ya City Humble tukaletewa masharti jinsi ya kukaa mbele ya goli muda wa kona.
Tunampuga nyumbu tunalaumiwa kwanini tumempiga kwa kona. Hakuna anayewalaumu nyumbu kwa kushindwa kudefend kona.
Juzi wakati tunascore goli la pili mtafute jana Maguire alikua anafanya nini. Jana wanapigwa na Forest mtafute kijeba Martinez alikua anafanya nini.
Kwenye draft unamfunga mtu anakasirika anakuambia sasa hivi naanza mimi, unamfunga tena. Anakasirika anaanza kukulazimisha usicheze mbuzi kavimba kwakua hajui kuizuia.
Ile takataka ya arteta inayokimbia kama ina kinyesi matakoni hawezi mambo haya, angeweza kuzuia mali kisha kupiga pasi ya nyuma.Goli kama aliloscore huyu Jimenez ndiyo linasababisha uone umuhimu wa ST.
Goli linapatikana out of nothing.
Namna tunacheza inamrahisishia kuscore. Tunatengeneza chances nyingi kiasi kwamba atamess up nne atapata moja na timu inashinda watu wanasahau makosa manne.Ile takataka ya arteta inayokimbia kama ina kinyesi matakoni hawezi mambo haya, angeweza kuzuia mali kisha kupiga pasi ya nyuma.