Bachelor OG
JF-Expert Member
- Aug 27, 2022
- 1,198
- 1,466
Najua tunashauku sana na makombe ila msijali,tutayapata,kiu ya makombe isiwasahaurishe kwamba msimuu huu tuna timu nzuri sana
Wazee wa dark arts boko haramu football Tuongezeeni pesa kidogo kwa streka la bolu kai havertz mr. Champions league.....streka miguu mirefu km beki anayejichubua kuliko wote pale utopolo bwana boka😂Kai nilimkataa mapema saana, viwango vya kina martinelli ni mashaka, najiuliza saka ukimpeleka pale westham ama Everton atakuwa saka huyu, timu inahitaji kuboreshwa, inahitaji wachezaji wa daraja la juu, wachezaji na kocha wenye njaa na makombe.
Msimu ule liver wako hoi, man city tumemuacha gape kubwa la pointi nikasema tukikosa kombe msimu huu tusitarajie ndani ya misimu ijayo tutalipata kirahisi, alikuwa sijui ni will yule ama nani, alinipinga na kunitoa akili, lakini kile nilichokiona ndio tunakipitia...
Safi. Aendelee kubaki baki. Bado tunakinyongo naye huyu mwehu.Kwenye Epl cup shida iko palepale.View attachment 3157600
Hakuna anayeongea kuhusu RVP, ni yeye ndiye anayeongea kuhusu Arsenal kila siku, anachoumia ni kucheza miaka mingi lakini hatumuoni kama legend| Robin van Persie:
“I don’t expect to work at Arsenal. I think that is closed, because of my switch to #mufc... It is still sensitive for them, not for me — it is especially sensitive for the Arsenal fans.”
Legend kwenye katimu ambako hakajampa mafanikio!Hakuna anayeongea kuhusu RVP, ni yeye ndiye anayeongea kuhusu Arsenal kila siku, anachoumia ni kucheza miaka mingi lakini hatumuoni kama legend
Miezi michache nyuma hapo siku kama ya leo lazima ungewakuta wanaisifia dark boko haram arts football...sahv uzi upo kimya km wapo kwenye msiba kweli back to default settings🤣🤣🤣Hatimaye mmekakatia tamaa katimu kenu. Misimu miwili nyuma siku moja kabla ya match day mlikuwa mnaandika uongo mwingi sana. Lakini leo hii hamtoi hata predicted Line up yenu wala kuongelea mpira kwa uhuru.
Mnarudi kwenye default kabla hata hamjapata mafanikio ya kunyanyua kwapa wala carabao kama super 10Hag
Dah 😅