Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ila Arsenyetoz aisee ,yaani na vichwa vyenu vikubwa hivyo kama mitungi ya gesi mnakaa na kuota kwamba leo mnashinda mbele ya kings wa London , mmeshindwa kuwafunga Newcastle ,mje mtutambie sisi ?
Kweli uchawi upo ,na aliyewaloga ameshakufa
 
Ili tumfikie City na Liver ni muhimu game ya kesho tufe na mtu.
Hatuhitaji draw, tunahitaji ushindi..iwe kwa goli moja au 4 ili mradi ushindi.
Hivi comment zenu za kujitia matumaini tutazifufua tuu
 
Sijaelewa hii kitu.
Huo msimu ilikua next match baada ya hizo kumi tunaenda kucheza na chelsea.

First leg walitufunga 2, Lukaku akiwemo. Second leg ndiyo ilikua tunakutana baada ya hiyo worst form.

Tukashinda 3. Chelsea walikua na kipa anaitwa Mendy, alikua anasifiwa sana kwenye kudaka
 
Nyie KENGE, mpooo
 

Attachments

  • Screenshot_20241110_174026_BeSoccer.jpg
    132.7 KB · Views: 15
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…