Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 6,727
- 12,005
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kabla ya kumtupia lawama refa tafuteni kwanza kocha wa kueleweka, la sivyo kila msimu nyie mtakua mnaishia tu kua wapenzi wasindikizaji[emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 3137401
Umeshawahi kuona wapi kuku akikaanga? Je, umeona na kununua mara ngapi au kukaanga mwenyewe kuku? Sasa kati ya hivyo viwili, unaona kipi ndicho kinawezekana kutokea?Mlidhulumiwa nini!?😂
Tunawasubiri tuwakaange
Unashangaa nini wakati mtu anaangalua mpira mzuriKesho kina Labyrinth wana alama zetu 3.
Mpaka leo huwa nashangaa sana mtu anaamuaje kuhamia Newcastle eti kisa wameingia top 4 msimu mmoja kwa kubebwa bebwa
Wale Nyukesto sio wa kudharau kabisa wakiwa pale kwao, wanakuaga kama mbogo hasa wakikutana na timu kubwa, yan ni kama enzi zile IhefuKesho kina Labyrinth wana alama zetu 3.
Mpaka leo huwa nashangaa sana mtu anaamuaje kuhamia Newcastle eti kisa wameingia top 4 msimu mmoja kwa kubebwa bebwa
Hamna mtu anahama timuKesho kina Labyrinth wana alama zetu 3.
Mpaka leo huwa nashangaa sana mtu anaamuaje kuhamia Newcastle eti kisa wameingia top 4 msimu mmoja kwa kubebwa bebwa
Huyo jamaa huwezi amini alishacheza EPL akaboronga ndiyo akaenda huko.Wazee kuna huyu striker wa Sporting Lisbon anafunga kama kapandwa na kichaa.
nahis dau lake litapanda zaid ya last season ,ambapo niliamini baada ya Sesko kuchomoa tungeenda kwa jamaaWazee kuna huyu striker wa Sporting Lisbon anafunga kama kapandwa na kichaa.