Arsenyetoz hamna ubavu wa kutuvimbia sisi ,nyie ni watoto wadogo sana tena mayai mayai.Ww mbona crystal palace alikutoa kamasi Nyumbani kwako🤠🤠🤠...unaongea nn ww bwana mdgo...uzuri mwezi wa 11 tutakutana...tutaona hiki kidomodomo chako utakiweka wapi
Mambo bintiArse 8
Mpo?
Poa vipi dogoMambo binti
Huo uwezo hamna nyny malofa....timu Lina miaka karibu 10 nje ndani tunaligeuza ndo lije kutusumbua Sasa....mda ukifika wa kuingia bandani mnaingia taratibu kuchinjwaArsenyetoz hamna ubavu wa kutuvimbia sisi ,nyie ni watoto wadogo sana tena mayai mayai.
Tutawanyoosha sana msimu huu
Shangazi Mambo niaje?Arse 8
Mpo?
Poa dogoShangazi Mambo niaje?
Sijambo Sana [emoji109]Poa dogo
Hujambo?
Leo nilikuwa naangalia game ya Ipswich na villa nikasikitika sana....emery yy huwa hajui kukaba kabisa yule mzee....timu ndogo ndo zinamfaa...timu kubwa hawezi presha yake yule kochaMbuzi wote walioona Arsenal kupiga haram football ni dhaifu naona wanagewa test
Tulikumiss pia, sisi bado hatujaanza ligiPoa vipi dogo
Niliwamiss Arse8
Mnaanza lini ligi ase8Tulikumiss pia, sisi bado hatujaanza ligi
Strategist mzuri but anafocus na attack kuliko defenseLeo nilikuwa naangalia game ya Ipswich na villa nikasikitika sana....emery yy huwa hajui kukaba kabisa yule mzee....timu ndogo ndo zinamfaa...timu kubwa hawezi presha yake yule kocha
Tukutane JanuaryMnaanza lini ligi ase8
Wewe huu uongo umepata wapi? Na hata kama ni kweli, Arsenal haina shida kwenye defense haswa LBView attachment 3110425
Hua nasema Arteta ni tapeli mnabisha. Haya huenda Kalafiori makaliza msimu
Matumaini hewa kama kawaida yenuTukutane January
Huu ndo mwaka wetu wa kufosi kwa kila aina ya Dark artsMatumaini hewa kama kawaida yenu
Hata basi hawajui kupaki siku hiziBasi wamepaki na kipigo wamepata