Arsenal (The Gunners) | Special Thread

I actually thought tunahitaji kucheza 3 4 3 ili kujaribu kuziba weakness ya mid ambayo kwa sasa itaonekana kwakua Jorginho na Partey ni risk kuwaweka wote wawili.
 
I actually thought tunahitaji kucheza 3 4 3 ili kujaribu kuziba weakness ya mid ambayo kwa sasa itaonekana kwakua Jorginho na Partey ni risk kuwaweka wote wawili.
Yan hapo wa kuziba weaknes Yao Ni Timber tu Daaaahh kaz tunayo..
 
Mkiweza kuwabana maddison na kulusveski basi kazi mmemaliza !!!! Mtaweza ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…