Ode,calafiori,jesus,tomiyasuOde kwa game style na role yake pale katikati sioni wakuziba pengo lake, nawaombea apone haraka kabla hamjatoka relini.
Last season mlikuwa na bahati ya majeruhi kabisa bt this time bundi kaanza kuwanyemelea mapema kweli.
Hivi wewe ndo uliyekimbiliaga nyukesto eti eehTulieni dawa iwaiingie ode tayari injury , spurs wanasema game ishakuwa taamu.
mwaka huu false hopers mapema tu mnashikana mashati 😂😂 next two games ni spurs and man city .
tulia false hoper machungu ya spurs anamalizia kwenu baada ya kupokea zile 2 kutoka kwa GeordiesHivi wewe ndo uliyekimbiliaga nyukesto eti eeh
Nidhamu imetawala hili jukwaa.Wabwatukaji wanaandika kwa kubakisha maneno, hawaropoki tena kuhusu kubeba EPL na UCL.
Hii ni silent phase kwa false hopers, mwenyekiti kawakimbia maana anajua kabisa hii phase hata aletee false hopes gani hali ni tete.
zamani kidogo hali ilikua tete huko april au may , now hali ni tete kuanzia September mpaka may.
False hopes haziwezi kustahimili muda mrefu kama huo maana false hopers watampiga mawe.
Hata kuwa mwanasiasa anaweza sana.Pamoja na yote ila jamaa ana kipaji kikubwa sana cha ushawishi na kuwafunga watu akili, mwamba akijiongeza akafungua kanisa la upako atapata kondoo wa kutosha na kupiga pesa mingi sana
SILENCE PHASEHii ni silent phase kwa false hopers, mwenyekiti kawakimbia maana anajua kabisa hii phase hata aletee false hopes gani hali ni tete😆.
zamani kidogo hali ilikua tete huko april au may , now hali ni tete kuanzia September mpaka may.
False hopes haziwezi kustahimili muda mrefu kama huo maana false hopers watampiga mawe.