[emoji2403]USARA ZA GWIJI WA HIGHBURY
[emoji1614] Nimeangalia Baadhi game za Pre Season za Arsenal Focus yangu ilikuwa Je kuna mabadiliko yapi yanafanyika kiufundi na Kimbinu kutoka kwa Kocha.
[emoji1614] Nilichogundua Arteta Hajaondoka kwenye baadhi ya Mbinu zake kawahi kuzitumia kwenye game za Pre season karudia baadhi tactical set up.
[emoji1614] Mfano FB kuinvert in Midfield mwishoni mwa msimu jana nafikiri asa baada kutoka Dubai tunaona Arteta alifanya tactical twerk badala kufanya Inverting ya FB akambadilishia Majukumu ode kuja kudanya build up kutokea Chini.
[emoji1614] Alafu FB wa kushoto aendelee kucheza pembeni sababu pia alitafuta utimamu kiulinzi eneo ilo kitu Zin kinampa shida.
[emoji1614] Hii ilikuwa tactical tweak pia, Kumfanya Rice kuwa more advanced akicheza LCM kitu ambacho ata mimi nilofikiri Arteta anahitaji zaidi kuendelea Nacho.
[emoji1614] Lakini sasa Mfano Game jana Unaona Arteta akirudisha Inverting FB Role kutoka Zin ata alipoingia MLS aliendelea kufanya Hivyo hovyo.
[emoji1614] Kumbuka Hapo Arsenal kuna baadhi wachezaji hawakuwepo Mfano Timber, Calafiori na Possibly Merino kama Akisajiliwa.
[emoji1614] Kwa Misingi hii tutaendelea kuona mabadiliko kimbinu uwanjani kulingana na mpinzani.
[emoji1614] Kitu Arteta anachokitafuta kwa sasa ni kutotabilika ( Unpredictable) ndio maana kakomaa kusajili wachezaji ambao wanampa Flexibility yani wanacheza nafasi Zaidi Moja uwanjani.