Arsenal (The Gunners) | Special Thread

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkuu Bagabeach kwanza mtake radhi Claudio Ranieri kwa kumfananisha na vitu vya kijinga kijinga, ni dharau kubwa sana kumfananisha kocha mwenye kombe la Epl na kocha ambae mafanikio yake makubwa ni ngao ya jamii.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkuu Bagabeach kwanza mtake radhi Claudio Ranieri kwa kumfananisha na vitu vya kijinga kijinga, ni dharau kubwa sana kumfananisha kocha mwenye kombe la Epl na kocha ambae mafanikio yake makubwa ni ngao ya jamii.
Kweli, arteta bado sana, anawadaganya arsenyo kwa aerial dual won, na inverted midfield
 
False hopers mupoo ?
Ila mashabiki wa Arsenyetoz mna akili za panzi aisee
Bado kuna lishabiki maandazi la Arsenyetoz linaweza kubeba trophy msimu huu unaokuja
 
Hawa pimbi ndio walikuwa wanasema "tuletee madiridi " ,sisi ni mabingwa wa UEFa msimu huu ,
Yakaja kutolewa na Bayern mbovu kabisa ile.
Sijui yangekutana na moto wa vile vitoto vya Bernabeu yangefedheheshwa kiaina gani
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Maanina
 
Hao arsenyo fans sio binadamu kama sisi. Me nawaona kama viumbe fulanj tofauti na sisi binadam
 
Mbona hata nyie mlikua mnatamba kombe lenu, tena mkasema mtamaliza ligi bila kufungwa. Mkasema FA, Carbao UEFA mtabeba yotee, kilichotokea sasa!!! hahahaha..... Aliewajaza huo ujinga mpk sasa hajulikani alipo.

Hawana vijana wa wenger orphans wanatabu sana. Kila msimu wanatia sana. Huruma[emoji23][emoji23]. Hakuna kitu kinauma kama kuwa kwenye form misimu miwili then una achieve zero trophy 0 inauma snaa aisee
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkuu Bagabeach kwanza mtake radhi Claudio Ranieri kwa kumfananisha na vitu vya kijinga kijinga, ni dharau kubwa sana kumfananisha kocha mwenye kombe la Epl na kocha ambae mafanikio yake makubwa ni ngao ya jamii.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Kocha mwenye Kombe la Ngao la Jamiii
 
Cole Palmer alimpeleka kenge Saka kucheza beki sababu Saka kama forwad ni mzigo
Mambo ya kimbinu haya, kichwa mchunga huwezi yaelewa.Umesahau Bernado Silva alizima namba 3 dhidi ya Arsenal misimu miwili nyuma?

Mechi ya kwanza ya Ubelgiji dhidi ya Slovakia, Carrasco alizima tatu, af Trossad akaua winga ya kushoto. Hukusikia humu tukijimwambafy. Coz, majukwaa yote, humu ndo wapo wanaolielewa soka kisawasawa.

Moja katika vitu vinazungumzwa humu ndani ni "VERSATILITY" ya wachezaji wetu. Huyo Saka sio tatu tuu, hata ukimuweka 8 anazima, na fulenga tuu.

Kai amezima tatu dhidi ya Turkey na Austria na shega tuu. Usishangae siku Raya akaanza namba 6, golini akakaa Jesus
 
Mimi sitaki kuamini kwamba Xhaka huyu wa Euro, ni bora kuliko yule wa Euro 2020 ambapo Uswizi wanakufa kwenye matuta dhidi ya Spain, ROBO FAINALI

Ila, amekuwa mzuri machoni mwa watu, baada tu ya kuondoka ARSENAL

RICE, amekuwa mbaya machoni mwa mashabiki wa England na waandishi wa habari, akiwa amevaa jezi ya ARSENAL

Sio mchezaji, ni timu. It's fine that people hate us.Its part of our history
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…