Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Potelea mbali, nachojua chelsea watapa mafanikio kabla yenu.
Siku mkija kustuka kwmba tajiri miluzi kaigeuza timu rasmi kuwa ni ya biashara na sio ya kugombea makombe itakuwa too late sasahvi mnaenda kucheza conference league na mkikaa vbaya mwakani hata Hilo kombe la conference league itakuwa mwanzo na mwsho kushiriki muanze kuwa wazururaji mulemule Uingereza kama kina Bournemouth....kenge hasikii mpk masikio yatoke damu
 
Katika kitu nilichoshukuru na kufurahiq ni bichwa mzinga ten hag kubaki....yaani ni baraka kwakwli...point sita tyri tunazo kabla hata ligi haijaanza
...Ineos miaka 100 kwao....na wampe mkataba wa miaka 5 kwakwli
Ten Hag ni akili kubwa, kocha la makombe.
Ten Hag ana miaka miwili tu United lakini ana mafanikio makubwa kuliko huyo Tetea wenu mwenye miaka 5.
Tafuteni kocha wa kueleweka ndugu zangu, la sivyo kila msimu mtakua mnashia kua wasindikizaji tu kwenye kila michuano.
 
Wauze tu huyu kijana
 
Kwa hiyo Arsenal nyie ndio mnajiona mna future yoyote? au ndio mmeamua kuishi kwenye kadunia kenu wenyewe kamafalse hoppers.

Miaka mitano Arteta anarukaruka tu hamna chochote alichoachieve bado mnajiona na nyie hamna utofauti na Bournemouth!!!!
 
Muda ndo huu wa kusajili....mwaka jana mlianza na Liver mkatamba kwa lile bolu mlopiga siku ile ubingwa wenu....mwaka huu mnaanza na City...hatutaki malalamiko baadae
 
Chelsea ikishiriki kombe lolote la Ulaya lazima abebe. Ninyi mmeshiriki makombe ya ulaya marangapi na mmeshinda mangapi?

Ninyi kule mnaenda kuzurura tu. Hamna lolote
.

Chelsea itabeba kombe kubwa kabla yenu subiri uone
 
Kwli kabisa🤠🤠.... conference league la kwenu lile...mkaupige mwingi majirani... Ila huku kwny ligi mjitahidi kusajili vzuri...sio mkifungwa mechi kumi mnaanza kutukana kocha....hatutaki
 
Chelsea ikishiriki kombe lolote la Ulaya lazima abebe. Ninyi mmeshiriki makombe ya ulaya marangapi na mmeshinda mangapi?

Ninyi kule mnaenda kuzurura tu. Hamna lolote
.

Chelsea itabeba kombe kubwa kabla yenu subiri uone
Anajua sema anakaza tu fuvu.
 
Muda ndo huu wa kusajili....mwaka jana mlianza na Liver mkatamba kwa lile bolu mlopiga siku ile ubingwa wenu....mwaka huu mnaanza na City...hatutaki malalamiko baadae
Mbona hata nyie mlikua mnatamba kombe lenu, tena mkasema mtamaliza ligi bila kufungwa. Mkasema FA, Carbao UEFA mtabeba yotee, kilichotokea sasa!!! hahahaha..... Aliewajaza huo ujinga mpk sasa hajulikani alipo.
 
Narudia mtani...sajilini watu wa maana...sasahivi utatufanyia vurugu hmu ndani ila ligi ikianza unaanza kuonekana kwa nadra kama jasho la kuku
 
Mbona hata nyie mlikua mnatamba kombe lenu, tena mkasema mtamaliza ligi bila kufungwa. Mkasema FA, Carbao UEFA mtabeba yotee, kilichotokea sasa!!! hahahaha..... Aliewajaza huo ujinga mpk sasa hajulikani alipo.
Ila Masingeli mtu wa maana kabisa yule, alikua anajua kuzivuta hizi mbuzi masikio na kuzielekeza popote pale anapotaka ziende.
hamis77 tafadhali tunakuomba usilitelekeze hili jukwaa, kama vipi njoo tu hata na Id mpya sisi tuko nawe bega kwa bega, bila ya uwepo wako humu hili jukwaa linakosa kabisa mvuto, Masingeli hakika wewe pekee ndio unaeiwezea kuishikilia akili hii misule ya humu
 
Mashabiki wa arsenal sio binadamu kama sisi.
Arteta sio kocha wazee, na hapo kafika peak yake km ile ya Raniel wa Leicester 2016, so msimu ujao anaanza kuporomoka.
Hata solkjaer second position alishika.
Chelsea na man u watarud na wachukue makombe kabla yenu, amini, nawaambia

Anzeni na kocha, na midfield ya odegard sio ya kukupa ubingwa.

Nyie laana mna noma.
Odergard ni bora kuliko de brune, hii ni moja kati ya laana mlizojitakia, au ile laana ya kuidharau uefa wakati mna miaka 100+ hamuijui.

DOMO FC
 
Katika kitu nilichoshukuru na kufurahiq ni bichwa mzinga ten hag kubaki....yaani ni baraka kwakwli...point sita tyri tunazo kabla hata ligi haijaanza🤠🤠...Ineos miaka 100 kwao....na wampe mkataba wa miaka 5 kwakwli
Du unafurahi kocha mwenye kombe anabaki wakati kocha wakonanzurura tu hajui kombe ni nini
 
Pumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…