Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hizi habari mjitahid muwe mnachuja jamani, huyu huyu Martinel anaekimbia kimbia na mpira amengalia chini kama kuku mwnye kideri ndio auzwe bei hiyo!!!!!
 
[emoji599] || Confirmation that Arsenal contacted Everton today, for Amadou Onana. Everton are asking for £50m for the Midfielder [Via - @ShamoonHafez / @BBCSport].

Pira haramu ? Arteta knows
 
AUGUST
Sat 17 Wolverhampton Wanderers (H)
Sat 24 Aston Villa (A)
Sat 31 Brighton & Hove Albion (H)

Huu ni mkakati wa kuwafanya mpate matuamaini kuwa mtabeba ligi sawa mtawin game zote hapo August.
SEPTEMBER
Sat 14 Tottenham Hotspur (A)
Sat 21 Manchester City (A)
Sat 28 Leicester City (H)

Hapa mnapigwa zote tatu kenge nyie

OCTOBER
Sat 5 Southampton (H)
Sat 19 Bournemouth (A)
Sat 26 Liverpool (H)

Mnapigwa zote

NOVEMBER
Sat 2 Newcastle United (A)
Sat 9 Chelsea (A)
Sat 23 Nottingham Forest (H)
Sat 30 West Ham United (A)
Hapa mtampiga Nottinghama ila the rest ni kipigo. Kwa kifupi Mjiandae kushuka Daraja.
 
Nilichogundua, ukiachana watu kusema Ni amshabiki wa timu Fulani

Ila moyoni mwao, arsenal imechukua sehemu kubwa sana

Arsenal ni kubwa mno, city ndio bingwa lakini watu wamejazana humu daily

Kule Uzi wa city painkiller amejitengenezea ID kadhaa ili awe anajibishana yeye mwenyewe

 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Watu tunajazana humu sio kwa sababu ya ukubwa wa timu, humu tunajaa kwa sababu ya midomo ya mashabiki wa Arsenyau.
Takwimu zinaonyesha Arsenyau ndio timu inayoongoza kwa kua na mashabiki wengi waimba taarabu kuliko timu nyingine yoyote duniani.
Hata hapa Jf jukwaa la Arsenyo ndio linaloongoza kwa mipasho, majigambo, majungu, fitina, husuda pamoja na matusi.
Hivyo linapowakuta jambo lazima raia wema tujazane humu kwa wingi kuwapongeza kwa kuwin aerial duel[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Huku tunafuata comedy, mtu anakwambia anamtaka Madrid wakat timu yake ina akina Havrtz wkt wenzenu wana Viberenge kina Vinicius. Kama sio komedy ni nini.

Bado kuna ile ya Arse88 Kondoo
# Havertz Sendozi

Ligi ianze tu mapema jamani tufurahi
 
Huku tunafuata comedy, mtu anakwambia anamtaka Madrid wakat timu yake ina akina Havrtz wkt wenzenu wana Viberenge kina Vinicius. Kama sio komedy ni nini.

Bado kuna ile ya Arse88 Kondoo
# Havertz Sendozi

Ligi ianze tu mapema jamani tufurahi
Kuna Jackson version 2 yupo atletico Madrid tajiri miluzi anamuwinda🤠🤠...Chelsea na wachezaji ma Nigger sijui kuna nn....sajilini vzuri sio ikifika katikati ya msimu mnaanza kama kawaida kumrushia maneno machafu kocha wenu...mda mnao mpk August...msimu huu hatutaki sababu
 
Katika kitu nilichoshukuru na kufurahiq ni bichwa mzinga ten hag kubaki....yaani ni baraka kwakwli...point sita tyri tunazo kabla hata ligi haijaanza🤠🤠...Ineos miaka 100 kwao....na wampe mkataba wa miaka 5 kwakwli
 
Potelea mbali, nachojua chelsea watapa mafanikio kabla yenu.
 
Potelea mbali, nachojua chelsea watapa mafanikio kabla yenu.
Siku mkija kustuka kwmba tajiri miluzi kaigeuza timu rasmi kuwa ni ya biashara na sio ya kugombea makombe itakuwa too late sasahvi mnaenda kucheza conference league na mkikaa vbaya mwakani hata Hilo kombe la conference league itakuwa mwanzo na mwsho kushiriki muanze kuwa wazururaji mulemule Uingereza kama kina Bournemouth....kenge hasikii mpk masikio yatoke damu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…