Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ligi ikianza kama kawaida itakuwa ni sherehe arsenal na misiba kwa majirani.mnahimizwa kutumia muda huu kutoa uchungu wa maumivu ya agosti 2023-may 2024.piga spana wadau
 
Leteni vipichapicha
Leteni screen shot
Leten msimamo wa ligi tunaongoza na hatukuchukua kombe
Leteni charts zetu

Teeema nyongo yote maana muda wa wenu wa kufurahia ni huu
 
Anahusishwa kuja kwetu,wala hatujasema tunamtaka.mawazo ya waandishi wa habar bwana
 

Attachments

  • IMG-20240607-WA0000.jpg
    48.5 KB · Views: 20
Mkuu hii comment umeandika kwa uchungu sana pole mkuu
 
Sasa nimegundua kwa nini Arteta hamtaki Aaron Ramsdale kwenye ogolkipa namba 1
Jana lile shuti halikuwa la kudaka, alitakiwa ablock kwa guu lake la kulia
Poor decision making imeigharimu England kupoteza mechi ya kirafiki

Huyo hatumtaki kabisa Chelsea, anazidiwa hata na golkipa wetu wa pili Roberto Sanchez

 
Humu kuna Kima hua zinadanganyana sana aiseeeee. View attachment 3011778
Wanavyoitwa kondoo huwa unafikiri ni kwa bahati mbaya, subiri ligi ianze utaziona tena utafikiri hawaijui timu yao.
Yaan kama kondoo, unaweza ukamfukuza mahala asile majani na ukapga kabisa ila baada ya dk. anarud tena pale pale.
 
Ingawa taarifa zinasema tupo karibu kumnasa Onana ila naona jamaa haendani na mpira wa Arsenal kivyovyote
Mimi mwenyewe sioni Kabisa Onana ni aina ya mchezaji tunaemuhitaji , labda kuna namna Arteta atamtumia au kuna mfumo mwingine utaitajika kwa msimu ujao.
 
Hii habari sikuiona...

Globe Soccer Awards -Best Coach - Premier League - MIKEL ARTETA
 

Attachments

  • 1717948782257.png
    1.1 MB · Views: 17
Arsenal tumegewa option ya kumsajili Osimhen ila tumegoma na badala yake tunamtaka Sesko
Labda tunaiangalia hii ishu kwa upande wa pesa. Osimhen bei yake ni mara mbili ya Sesko. Tumbebe tu huyo Sesko, tumkuze awe beast moja la striker, huku tukimchukua Youssof Fofana kupartner na Rice na kutafuta winger machachari wa kumpumzisha Saka.
 
Kuna namna nyie kondoo huwa mnatafutaga namna y kupata furaha.

πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Ni muhimu mkuu. True story...mimi ni survivor wa sonona. Ilinitesa sana kwa miaka miwili kitambo kidogo na ilikuwa inanipeleka pabaya. Ilinichukua miaka mingi zaidi kukaa sawa.

Nilichogundua, pamoja na kuwa na 'positive mindset' na kuwa karibu na Mungu moyoni, na mambo mengine madogo madogo, kutambua vitu zaidi vya kukupa furaha kuliko vile vya kukuhuzunisha, na kuvifurahia, ni muhimu sana kwa mwanadamu.

Dogo ametoka mbali na kweli amefanya makubwa japo hana mataji. Tunaamini atafika huko pia. Acha tuifurahie safari kwanza na baadae tutafrahia pia hatima ya safari (makombe kede kede).
 
Arteta hana mataji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…