Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenyetoz kama wameshindwa kubeba Epl msimu huu , watabeba vibuyu vya ulanzi tu .
Mkumbuke msimu huu tunamsifu city kabeba Epl ila kiuhalisia hakuwa na makali kama ya msimu uliopita , maana kuna kipindi city alipigwa gepu kubwa la points kama 10 kabisa na hizi Kenge Arsenyetoz ila cha kushangaza leo hii kabeba Epl .
Kweli Arsenyetoz ni fungu la kukosa
 
Arsenyetoz huwa tunawaambia kubeba makombe ni tabia na utamaduni .
Kama huna tabia na utamaduni wa kuvagaa makombe ,wewe ni tia maji tia maji tu mpaka mwisho .
 
Hii ndio Raha ya kubetia timu professional! Straight win...unaendelea na shughuli zako!

Hata zikibaki sekunde 5!... Zinatosha kabisa kutoa matokeo!

Bigup arsenalion!!!
 
Asenali ndio walichostahili wamejitahidi kucheza mechi sita za mwisho vizuri,wasikate tamaaa tu,arteta amejitahidi ipo siku atafanya zuri zaidi tu endapo akizidi kupata wachezaji bora.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…