arsenal2004
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,359
- 4,408
Wanatukera sio🤣🤣Kule kwenye uzi wao kumejaa articles ndefu ndefuuuuu za kizungu za copy-paste za kina Manyanza na Grau, kuhusu Klopp kuondoka na Slot kuja. Hata hakuna anayezielewa. Wanaona bora waje huku watukere tu.
Unabwabwaja nn ww Lofa Mlinda mageti🤠🤠....akichukua kipara kastahili..tutajifunza kwa mistakes tulizofanya na mwakani kwny fezi foo tunabeba hii ndoo....msitufananishe sisi na nyny...tupo mbali sana kwa sasaKaka mimi sizungumzii ubingwa wa Epl wala Uefa pekee, ni kweli sio kazi rahisi kupata ubingwa wa hayo makombe mawili, ila kwa ubora wa Arsenal hii mmeshindwa Epl na Uefa basi mngebeba hata hivyo vikombe vidogo vya FA na Carabao.
Hata wajukuu zenu siku mkija kuwahadithia kua Arsenal ya msimu wa 2022/2023 na 2023/2024 ilikua ni ya moto kwelikweli, wakiwauliza ilishinda kombe gani? halafu mkawaambia haikushinda kombe lolote sidhani kama watawaelewa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kila wisho wa msimu maneno yenu ni hayohayo tu mtajifunza kwa mistakes mlizofanya na mwakani kwenye fezi foo mtabeba ndoo, cha ajabu hizo fezi foo hua haziishi, kila msimu kwenu ni fezi foo na mbaya zaidi hua hata hamjifunzi kabisa kwa hizo mistakes mlizofanya msimu ulioisha[emoji16][emoji16][emoji16]Unabwabwaja nn ww Lofa Mlinda mageti[emoji1783][emoji1783]....akichukua kipara kastahili..tutajifunza kwa mistakes tulizofanya na mwakani kwny fezi foo tunabeba hii ndoo....msitufananishe sisi na nyny...tupo mbali sana kwa sasa
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kila wisho wa msimu maneno yenu ni hayohayo tu mtajifunza kwa mistakes mlizofanya na mwakani kwenye fezi foo mtabeba ndoo, cha ajabu hizo fezi foo hua haziishi kila msimu kwenu ni fezi foo na mbaya zaidi hua hata hamjifunzi kabisa kwa hizo mistakes mlizofanya msimu ulioisha[emoji16][emoji16][emoji16]
Mlinda geti kazi yangu humu ni kutembeza spana tu mpaka mjirekebishe na kuacha uzwazwa na false hopes za kijinga, tena umenikumbusha ngoja nianze kufukua makaburi maana ninazo quotes zako za kutosha humu ukiwadanganya misukule wenzako kua msimu huu lazima mtabeba Epl na Uefa[emoji23][emoji23][emoji23]
We mpaka Madrid anakubali kukuuzia mchezaji? Hujiulizi.Kabisa mlitaka kenge Odegaard apewe player of the season kwa lipi hasa kenge wakubwa nyie
Hii comment nayo inatoka kwa mshabiki wa mpira.. Too infantileKabisa mlitaka kenge Odegaard apewe player of the season kwa lipi hasa kenge wakubwa
Sitaki kujua umeanza kushabikia mpira mwaka gani ila nina uhakika wa jambo mmoja tu, tukichukua shabiki yoyote yule wa Arsenal tukahesabu makombe aliyoyaona na kushabikia as arsenal fan bado hamzidi dogo aliyeanza kushabikia man city 2011 .Kule kwenye uzi wao kumejaa articles ndefu ndefuuuuu za kizungu za copy-paste za kina Manyanza na Grau, kuhusu Klopp kuondoka na Slot kuja. Hata hakuna anayezielewa. Wanaona bora waje huku watukere tu.
Kweli kabisa. Wamepiga hatua kubwa sana huku sisi wengine tumeharibu na kuzembea vibaya sana 😄😄Sitaki kujua umeanza kushabikia mpira mwaka gani ila nina uhakika wa jambo mmoja tu, tukichukua shabiki yoyote yule wa Arsenal tukahesabu makombe aliyoyaona na kushabikia as arsenal fan bado hamzidi dogo aliyeanza kushabikia man city 2011 .
Tufanye umeanza kushabikia mpira mwaka ambao wenger ndo anakabiziwa team 1995 tukihesabu makombe arsenal aliyochukua ya epl mpaka tunavyoongea saivi 2024 ni makombe 3 tu 😂😂😂
1997/1998 , 2001/2002, 2003/2004 .
Tuchukulie dogo alianza kushabikia man city 2011 ana makombe ambayo ameyaona as fan of man city makombe 7 kesho la nane 😂😂
Yote maisha. Tumepambana tukakosa. Tutapabana tena. Huenda tutapata.Arsenal mnamaliza bila taji lolote🤣🤣
Huwa unaongeaga fact sana we jamaa, respect!Sitaki kujua umeanza kushabikia mpira mwaka gani ila nina uhakika wa jambo mmoja tu, tukichukua shabiki yoyote yule wa Arsenal tukahesabu makombe aliyoyaona na kushabikia as arsenal fan bado hamzidi dogo aliyeanza kushabikia man city 2011 .
Tufanye umeanza kushabikia mpira mwaka ambao wenger ndo anakabiziwa team 1995 tukihesabu makombe arsenal aliyochukua ya epl mpaka tunavyoongea saivi 2024 ni makombe 3 tu 😂😂😂
1997/1998 , 2001/2002, 2003/2004 .
Tuchukulie dogo alianza kushabikia man city 2011 ana makombe ambayo ameyaona as fan of man city makombe 7 kesho la nane 😂😂
Ni lini nilisema tutabeba UEFA mkuu 🤠 🤠....usinilishe maneno shehe....ndoo ya EPL Emery katufanyia roho mbaya tu🤠🤠...ila fezi foo hii kitu tunanyakua...msimu ujao big six wte mjiandae kutuchangia points 6 maana tuna jambo letu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kila wisho wa msimu maneno yenu ni hayohayo tu mtajifunza kwa mistakes mlizofanya na mwakani kwenye fezi foo mtabeba ndoo, cha ajabu hizo fezi foo hua haziishi, kila msimu kwenu ni fezi foo na mbaya zaidi hua hata hamjifunzi kabisa kwa hizo mistakes mlizofanya msimu ulioisha[emoji16][emoji16][emoji16]
Mlinda geti kazi yangu humu ni kutembeza spana tu mpaka mjirekebishe na kuacha uzwazwa na false hopes za kijinga, tena umenikumbusha ngoja nianze kufukua makaburi maana ninazo quotes zako za kutosha humu ukiwadanganya misukule wenzako kua msimu huu lazima mtabeba Epl na Uefa[emoji23][emoji23][emoji23]