Arsenal (The Gunners) | Special Thread

False hopers FC aka yatima wa Wenger aka bottlers FC aka asenane FC aka Arsenyetoz fc aka partey efusiiiiii aka asenyani FC
Ninyi kombe mtakalobeba ni kibuyu cha pombe ya ulanzi ,
Nilishawaambia tangia msimu unaanza ,ila kwa vile mna vichwa vizito kuelewa mnakaza fuvu na kujazana upepo kwenye hichi kijiwe Chenu .
Ninyi ni poor fc
Hamis na genge lako mhame humu ,
Kenge kabisa , yaani ninyi ni wa kutegemea Totenham awape ubingwa kwa kumvizia kipara ?
Mna wazimu ninyi
Halafu mna guts za kujiita kings of london football .
Ninyi ni level za akina Fulham na Brentford hapo london .
Kweli nimeamini London itabaki kuwa blue always .
Yaani nikajua ninyi fisi mwaka huu kwa form mliyonayo basi mtakaza muondoe aibu ya Epl kubebwa na timu moja muda mrefu ,ila wapi .
Kwenye Arsenyetoz ni Arsenyetoz tu .

Mlikuwa mnajitutumua humu kubeba treble mwaka huu , tukaanza kuhesabu carabao mkala vitasa , tukaja FA mkala ngumi ya chembe kidevu ,tukaja UEFA mkala katafunua tena toka kwa Bayern huyu huyu mliyekuwa mnamtukana kila siku kuwa ni dhaifu na mnataka mkutane naye mumtie adabu na sasa Epl mmechezea katafunua nyingine toka kwa city tena city hii dhaifu kuliko ya msimu uliopita .
 
Kwel kabisa, kufikisha point 99 ama 97 na bado usiwe bingwa unaanzaje kutoa lawama.

Binafsi naona walau ukiweza kufikisha point 90+ hata ukikosa ubingwa ujue u had the best oponent dhidi yako na unapaswa kukubaliana na hilo.
Huo msimu ambao Liverpool alimaliza na points 97 huku akiwa amepoteza mechi moja tu ndio niliamini hii ligi meshanajisiwa.

Ndio nikajua kwamba Kuwa na timu bora tu peke yake haikufanyi wewe kuwa bingwa, lazima uwe na sifa nyingine ya ziada anbayo ni kutoruhusu makosa hata kidogo kwenye nyakati muhimu. Nakumbuka huo huo msimu Liverpool anaukosa huo ubingwa Manchester city alishinda mechi 14 mfululizo za round ya pili.

Kwa ligi yoyote ile ambayo haina Pep Guadiola hizo ni points za kuchukua ubingwa, nakumbuka Morinho alivyoenda real madrid msimu wake wa kwanza alikusanya points 92 halafu akashika nafasi ya pili nyuma ya Barcelona ya Pep Guardiola... Morinho alilalamika sana na kutoa maneno ya kuikebei laliga kwamba ni ligi dhaifu inakuwaje timu yake inafikisha points 90 na bado inashindwa kutwaa ubingwa? Na zaidi ya hapo akaisifu sana ligi ya England kwamba ni ligi shindani... ilifika stage Morinho kwenye mechi za laliga akawa hata hashangilii magoli yanayofungwa na akina Ronaldo, mechi pekee alizokuwa anashingilia magoli na ushindi ni za El classico.

Jurgen klopp's Liverpool deserved at least three premier league titles if football was naturally fair.... the only way to dethrone Pep now is to kick his ass out of our EPL
 
False hopers FC aka yatima wa Wenger aka bottlers FC aka asenane FC aka Arsenyetoz fc aka partey efusiiiiii aka asenyani FC
Ninyi kombe mtakalobeba ni kibuyu cha pombe ya ulanzi ,
Nilishawaambia tangia msimu unaanza ,ila kwa vile mna vichwa vizito kuelewa mnakaza fuvu na kujazana upepo kwenye hichi kijiwe Chenu .
Ninyi ni poor fc
Hamis na genge lako mhane humu ,
Kenge kabisa , yaani ninyi ni wa kutegemea Totenham awape ubingwa ?
Mna wazimu ninyi
Halafu mna guts za kujiita kings of london football .
Kenge ninyi , ninyi ni level za akina Fulham na Brentford hapo london .
Kweli nimeamini London itabaki kuwa blue always .
Yaani nikajua ninyi fisi mwaka huu kwa form mliyonayo basi mtakaza muondoe aibu ya Epl kubebwa na timu moja muda mrefu ,ila wapi .
Kwenye Arsenyetoz ni Arsenyetoz tu
Watoto mayatima nyie munataka kubeba ligi na aki
Hawa majirani zetu ni wehu
 
Kitu pekee nyie wa matofalini mnachojivunia sasa hivi ni hizi old glories na pas records ambazo hakuna anaejali....

Huyo van Persie ameondoka kwa ajili ya vikombe halafu kombe lenyewe la maana alilochukua ni hilo moja tu ndio liwe jambo la kutupigia kelele?

Mtu aliyeondoka Arsenal kwa sababu ya kufuata vikombe na mpaka leo tuneheshimu maamuzi yake na yanaonekana yalikuwa sahihi ni Thierry tu basi, maana huko alipoenda alichukua hata vikombe ambavyo mpaka leo hii Arsenal bado tunavitafuta... halafu wewe unakuja kutupigia kelele na huyo injuries prone wa kidachi ambao amebaki kujipendekeza tu huko kwenu hili eti aonekane ni lijendi wenu?....hahhaha huwa nacheka sana nikionaga jamaa anavyolazimisha kukaa meza moja na akina Scholes.
 
Wenger orphans nyie mutabeba vikombe vya uji tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kama kuna watu ambao wanatakiwa wawe watu wa mwisho kabisa kuikejeli au kuisema vibali Arsenal basi ni nyie Cheltako.... yaani nyie hata New Castle wanaoenekana wana brighter future kuliko timu yenu..

Misimu ukianza jaribu kuangalia predictions za Opta Supercomputer kati yenu na new castle ni nani mwenye probability kubwa ya kuchukua ubingwa, kama hujakuta NWU wamepewa 3% wakati huo nyie mna 0.01%. Cheltako ni club ambayo imejifia na haijulikani itafufuka lini
 
Sisi tunajenga timu, ninyi munajaribu kuunga unga Bado hamuna pesa za kuwavuta vichwa vikali kama akina Jackson, James, Nkuku, Enzo hamuna ellaa nyie...
 
Wenger orphans nyie mutabeba vikombe vya uji

N

Na kwa man city hii, tusitegemee kupata ubingw kwa makosa ya mpinzani bali kwa ubora wetu, game za kipuuzi, hizi na aston villa, 2-2 vs chelsea, game na westham, kuna fulham, Tottenham ile game ya kwanza, ndio zimetuangusha saana,...
Kwamba kutoa draw na Chelsea ile mechi ya kwanza uliona ni kitu rahisi sio , hivi uliangalia hiyo game mlivyokuwa mmekaangwa ?
Wewe kalia hayo masupakompyuta yako kila msimu ni kula vitasa , mnamaliza trophyless hayo makompyuta na predictions zenu hewa hizo zinawasaidia nini ?
Kama kila msimu ni trophyless , Mnakula vitasa tu , na hapo mnajiona mpo kwenye form .
Sisi hatupo kwenye form kwa msimu huu na sababu inajulikana ni kuuzwa kwa timu na kufumuliwa kwa mfumo mzima wa uongozi na hata key players baadhi kuondoka + injuries nyingi zilizotuandama msimu huu na maingizo mapya ya usajili hasa vijana wadogo na wengine ambao ni wageni wa ligi ya Epl .
Si ajabu kushangaa Chelsea kuwa nafasi hii tulipo .
Unatakiwa utoe judgement yako kuanzia msimu unaokuja , pamoja na hayo yote tumejikongoja na kufika final ya carabao na semi final ya FA msimu huu pamoja na kuwa na hopeless form mbaya kwa miaka ya hivi karibuni .
mark hii comment Chelsea msimu ujao inaweza beba kikombe iwe FA ,carabao nk, ila ninyi mtabeba kibuyu cha ulanzi yaani ,kama kawaida yenu .
Arsenyetoz ni spurs pro max aka super bottlers , Yaani maajabu Arsenyetoz kumtegemea bottlers spurs awape ubingwa mbele ya city .
Hii inaonyesha jinsi mlivyo hopeless kabisa
Hii ni fedheha kubwa
 
Kwel kabisa, kufikisha point 99 ama 97 na bado usiwe bingwa unaanzaje kutoa lawama.

Binafsi naona walau ukiweza kufikisha point 90+ hata ukikosa ubingwa ujue u had the best oponent dhidi yako na unapaswa kukubaliana na hilo.

Pep tokea aje EPL kaweka Standard ili uwe Bingwa ni lazima πŸ‘‡

  • Kwa msimu usipoteze zaidi ya Mechi 2
  • Kupoteza mechi mwisho ni December, kuanzia Januari ni haramu kupoteza mchezo wowote.
  • Ikigonga January tu uwe uhakika umemuacha kwa Points 7+ bila ya yeye kuwa na mchezo mkononi.
  • Uwe una uhakika wa kumaliza Ligi na points zisizopungua 95.
  • Kikubwa zaidi lazima umfunge uwanjani kwako.

Ukifeli hapo πŸ‘† huwezi kuwa Bingwa hata uhonge Marefa muulizeni Klopp.
 
Kwel kabisa, kufikisha point 99 ama 97 na bado usiwe bingwa unaanzaje kutoa lawama.

Binafsi naona walau ukiweza kufikisha point 90+ hata ukikosa ubingwa ujue u had the best oponent dhidi yako na unapaswa kukubaliana na hilo.

Pep tokea aje EPL kaweka Standard ili uwe Bingwa ni lazima πŸ‘‡

  • Kwa msimu usipoteze zaidi ya Mechi 2
  • Kupoteza mechi mwisho ni December, kuanzia Januari ni haramu kupoteza mchezo wowote.
  • Ikigonga January tu uwe uhakika umemuacha kwa Points 7+ bila ya yeye kuwa na mchezo mkononi.
  • Uwe una uhakika wa kumaliza Ligi na points zisizopungua 95.
  • Kikubwa zaidi lazima umfunge uwanjani kwako.

Ukifeli hapo πŸ‘† huwezi kuwa muulizeni Klopp.
 
Rule #1: Liverpool anapopigania Ubingwa kwa tofauti ya point ≀ 3 halafu mbele yake akawa ana game dhidi ya Man United na Everton halafu anayepambana naye akawa ana game dhidi ya Everton basi Liverpool hawezi kuwa Bingwa.

Rule #2: Arsenal anapogombania Ubingwa kwa Points ≀3 halafu mbele yake akawa na game na Spurs na mpinzani wake akawa ana game na huyo Spurs basi Arsenal hawezi kuwa bingwa.

Rule #3: Hakuna Timu inayoichukulia serious Chelsea hata awe anagombania Ubingwa kwa magoli tu kwasababu Chelsea hana Rivalry na Timu yoyote manake Derby yao kubwa ni dhidi ya Fulham hivyo hawajui nini maana ya ushindani wa Jadi.
 
Umezingatia na factors Nyengine kama Declining phase ya Wachezaji after age 25, Injuries, Transfers?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…