Labda amewachoka wachawa akina
Flano na chawa wake akina mkohoti wanavyomsagia kunguni daily, tushinde tusishinde.
Ila raha tuliyonayo sasa ni miaka 3 nyuma tulikuwa tunapambania kuingia michuano ya Ulaya ila sasa ni kupambania kombe. Kwa watesi wetu sasa sisi kufeli ni kukosa ubingwa wakati kwao kufeli ni kushindwa kuingia top 4. Hamisi anawapigaga sana spana za hivi ndiyo maana ameona awalegezee kamba kidogo. Ila ole wao Mamacita ateleze (nigh impossible) tubebe kikombe,