Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Msimu huu tukimaliza nafasi ya pili haiwezi kua exciting kama msimu uliopita kwakua tulishakua hapo msimu uliopita na msimu huu tulihitaji kitu kipya.

Tumekutana na challenges kama za msimu uliopita na hatujajifunza nazo. Kompany aliipa ubingwa timu yake kwa screamer, De Bruyne anaibeba kwa hizo shots. Arsenal hatuna long shot merchant.

Kuna watu wanasema kwa jinsi Arsenal inavyocheza hauna haja na ST. Now nitajie msimu wowote ambao city au liva wanachukua ligi na hawana ST. Tukubali tukatae ST anahitajika.

Westham anahitaji kwenda Europa, inabidi ashinde dhidi ya city kama anataka hivyo. Mpaka sasa ishu siyo spurs kufungwa ishu ni atafungwa goli ngapi? City anajitoa kuhakikisha anafuta GD.

Sisi hatutamess up?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Masingeli kina Flano, Mkohoti na wapinzani wengine wala hua hatumpi tabu, anajua hawa ni watani wa jadi,
Arsenyo ikifanya vizuri au ikizingua lazima tukandie.
Masingeli anawaogopa zaidi Arsenyau wenzake wa humu kina dada mla mayai na wengineo, hawa watu siku Arsenyo ikizingua hua hawamuachi salama, wanambananisha ukutani na kuanza kumpa vitasa non-stop[emoji16][emoji16][emoji16]
Masingeli akiwa anaisifia Arsenyo unaweza kudhani hakuna shabiki jasiri wa Arseno duniani kama yeye, kumbe huyu jamaa ni muoga hata kunguru akasome[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ogopa sana Premier League early kick-off. Mechi ya mapema huwa lazima itoe matokeo yakushangaza. The Cherries nao si haba msimu huu, Arsenal wanaweza kupigwa tukio mapema tu kabla hawajafika machinjioni 'Old Trafford'.
 
Ogopa sana Premier League early kick-off. Mechi ya mapema huwa lazima itoe matokeo yakushangaza. The Cherries nao si haba msimu huu, Arsenal wanaweza kupigwa tukio mapema tu kabla hawajafika machinjioni 'Old Trafford'.

Hiyo early kickoff ni early kickoff kwetu tu ama ni early kickoff kwa Bournemouth pia?
 
Ni kwenu wote ila nani anataka points 3 zaidi? Mechi kama hizo underdog huwa anapata matokeo.

Siyo lazima itokee hivyo, ila kwenye historia ya EPL fuatilia utakuta timu yoyote kubwa ikicheza mapema inadondosha points.

Uko sahihi. Leo tunataka tuwapige Bournemouth kwa sababu tunataka zali la mentali litutokee tunyanyue kwapa, huku Bournemouth wao washajihakikishia kuwa hawatashuka daraja msimu huu.
 
Ni kwenu wote ila nani anataka points 3 zaidi? Mechi kama hizo underdog huwa anapata matokeo.

Siyo lazima itokee hivyo, ila kwenye historia ya EPL fuatilia utakuta timu yoyote kubwa ikicheza mapema inadondosha points.
Brighton and Hove Albion wanacheza saa ngapi mkuu🤠🤠....jana vijana wenu mpk half time walikuwa washadundwa nne Sasa sijui iliishaje...ile ni dalili ya kuonesha jinsi kaka zao mtakavyonyanyasika tukiwafata...msilete timu uwanjani ndugu zetu...huu ni ushauri wa bure tunawapa
 
naaam asenyo mshamaliza msimu
 

Attachments

  • IMG_20240504_094745_133.jpg
    159.1 KB · Views: 17
Leo kuna kila dalili Rice akatoa Maboko. Na washauri mjiandae kisaikolojia
Karibu sana saa nane na nusu pale Imarqte tuqngalie kabumbu....sisi tushafika hapa uwanjani tumetandika mkeka tunaangalia mikimbio ya Bournemouth kuona namna tutakavyopambana nao🤠🤠
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…