Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hizi games tatu za mwisho tushinde tu halafu city wapoteze 1 na draw 1 tuwe mabingwa ee baba
 
Kama raha yako iko hapo, basi hesabu tu maumivu. Mara kumi ununue hata kasichana na pakiti ya SM ujiliwaze kwa kilevi kuliko hawa manyumbu mbele ya wababe wa ligi.
 
Hamisi a.k.a Gwiji la Highbury tulitegema baada ya game ya Spurs utupe detail kama hizi chini


Unalikumbuka lile goli lililokataliwa la Havertz dhidi ya Spurs? Before pasi ya Odegardinho kwa Kai, rudi nyuma wakati move inaanza.

Tomiyasu from LB position anapata mali, anaipiga kwa Thomas Partey akiwa as CM. Utamuona Ben White akimpa ishara Thomas Partey kwamba aipoge mali kwenda kwa Saka, RW, ambayo ndo ilikuwa easy pass

Thomas Partey anaona ishara ya Ben White, lakini ni kama vile anamwambia tulia wewe, mimi ndo mkali wa hizi kazi. Af anaipiga mali ndefuuu kuelekea kwa Odegard badala ya Saka. Odegardinho was slightly offside hatimaye goli la Kai likawa ruled out.

Hapo gwiji la Highbury lingetoa maelezo ya kutosha huku likutimia emoji yake pendwa "
"

Video hii hapa chini
Your browser is not able to display this video.
 
Kama nilivyosema huko nyuma, mechi ya kesho ni ngumu kuliko mechi zote zilizobaki
Ina maana vs Nyumbu ni game rahisi kuliko na kina Solanke
. Nyumbu hawatoipenda hii.

Ila tusisahau katika hizo mechi 10 za mwisho, 6 tulizoshinda, ni moja tuu ndo tumemfunga kwake Nyumbu. Tena ni 2020, msimu wa Coronavirus, kukiwa hamna mashabiki.

Na kama mnavyojua, wakati mwingine hizi game hazihusiani na form/ubora wa timu husika.

Ila mwisho wa siku, kichapo kwa Nyumbu kipo pale pale
 
Msimu huu hamjapata key injuries kenge nyie
USHAURI WA BURE KWA MASHABIKI WASIO WA ARSENAL KUHUSU MECHI ZILIZOBAKI.



1. Kusitisha kuangalia mechi zilizobaki za CITY NA ARSENAL



2. Kukusanya dawa zote ndani ya nyumba na kwenda kuzitupa mbali au kuzichoma moto



3. Kukusanya kamba zote, mtandio, kanga na mkanda ndani ya nyumba na kwenda kuvichoma moto.



4. Ondoa vitu venye ncha kali kama kisu na bisisi nyumbani kwako na kwenda kuvitupa mbali.



5. Mwisho usipite kwenye madaraja marefu au karibu na visima virefu.



MWISHO WA MSIMU LOLOTE LINAWEZA KUTOKEA, UTANISHUKURU
 

Hamisi bhana ufike wakati aache utoto. Sasa tunakosa mauchambuzi ya hali ya juu kizembe zembe tu aisee.
 
INSPECTAH DEC
 

Attachments

  • 1714748629228.png
    989.6 KB · Views: 15
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…