Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Bro, tuna wasiwasi jamaa anaumwa au kuna shida flani. Ile 5g tu tuliyompiga Chelkenge ilitosha kumfanya mwenzetu aonekane usiku ule ule, ila mpaka leo holaa.
Kama ndio hivyo tumuweke jamaa kenye sala zetu apate nafuu ya haraka aendelee kutuletea burudani hapa. Maana huwa anawapa moyo sana mambo yakienda yoyo washika mitutu.
 
Kama ndio hivyo tumuweke jamaa kenye sala zetu apate nafuu ya haraka aendelee kutuletea burudani hapa. Maana huwa anawapa moyo sana mambo yakienda yoyo washika mitutu.
Jamaa aumwi wala nini ashasema kile kipigo cha Aston Villa kimemfanya a focus na biashara yake ya kuuza jezi kule Twitter X kule X muda wote. ana post vitu hapa naona anaogopa kupigwa mawe kwa comment zake na lijamaa uwaga alikomi.🤣🤣🤣🤣

Kweli Bayern na Aston Villa ni kiboko hata ile account ya busara za gwiji la Highbury hakuna tena🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nitumie DM account yake ya X nimuendee hukohuko, haiwezekani akatema bungo mapema hivi na kuwaachia msala chawa wake
 
Jamaa Twitter anatumia jina gani

Chawa wake tumfollow na kupata nondo za mjini Highbury pale
Giwiji la Highbury lipo kamili gado mjini twitter linashusha madini. Sema kutoa jina la account labda atoe mwenyewe 😀

Ila kumtafuta ni rahisi sna kama kweli una nia. Mimi haikuchukua hata dakika 5 kuipata account yake masingeli twitter 😀
 
Magoli na maassist yamezagaa uwanja/kikosi kizima. Hapo bado benchi wako akina Jorginho, akina Jesus....

Halafu mtu anakuja kuuliza eti Saka na Gordon, mara sijui Havertz na Jackson, eti Palmer....

Sijui nani aliwaambia hizo ni shida zetu.

 
Security guard anavyotufatafata utadhani sisi ndo tuko kwny nafasi Yao halafu wao wako kwny nafasi yetu....kumbe ni tofauti kabisa
Sio hivyo Mkuu, Masingeli ni mshkaji wangu sana, nataka nimpe tu pongezi za kumpiga ChelKenge kono la nyani

Mwamba tumemmisi sana aiseee, hatutendei haki kabisa kwa kulitelekeza jukwaa kwa kipindi chote hiki, kama vipi angekuja tu hata na zile busara zake za gwiji la Highbury
 
yaani wakijifanya wanawabana wakina saka,trosard,
wanajikuta wanafungwa na mabeki......, hatari sana
 
Mkuu jiandae kuja kwenye party ya bure nitakayoiandaa Mwezi May, 2024 Arsenal tukichukua Ubingwa

Karibu sana Mkuu 🤗
 
Unaialika mijitu ya Chelkenge ya nn...Bora wa Liverkuku kidogo timu Yao ilionesha upinzani....hii ya Chelkenge na Manunu hawatakiwi hata kusogelea eneo la tukio maana hawana timu za kueleweka Bali Wana vigenge vya mchakamchaka
Mkuu jiandae kuja kwenye party ya bure nitakayoiandaa Mwezi May, 2024 Arsenal tukichukua Ubingwa

Karibu sana Mkuu 🤗
ka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…