harvetz wa nini kwa hii mechi ya leo waungwana
Zisevu kwa wingi ewe nyumbuAhah hizi ndio comment tunazo zi save
naona wanga mmeanza kujifanya kuwa upande wetuOya wanangu wa Arsenal leo tutoe wasiwasi leo Chelsea tunamla vizuri tu wala hatotusumbua ili tumshushe Man City nafasi ya 2 huko akagombanie FA na Manure.
HahahahaSiku tumuone Parte, Rice na Odegaard.
Hao hapo
Atafunga volley leoharvetz wa nini kwa hii mechi ya leo waungwana
Nafikiri Arteta kaona timu nyingi tukicheza nazo zinafanya low block so Havertz anakuepo kwa ajili ya runs na kusumbuana na defense.harvetz wa nini kwa hii mechi ya leo waungwana
Huyu Rajabu ni pacha wa kina Carrasco na Bachelor. Nenda kule ukengeni ukute amesema nini π π πnaona wanga mmeanza kujifanya kuwa upande wetu
hatutaki marafiki
Partey sijui kama atakuwa na match fitness. Kwa sasa nafikiri Jorginho yuko fiti zaidi ila Partey ni mchezaji mzuri zaidi. Tuone itakuwaje.Nafikiri Arteta kaona timu nyingi tukicheza nazo zinafanya low block so Havertz anakuepo kwa ajili ya runs na kusumbuana na defense.
Ndiyo maana partey kaanza kwa ajili ya zile thru balls na long balls
mtu unajiita carasco alafu huelewekiHuyu Rajabu ni pacha wa kina Carrasco na Bachelor. Nenda kule ukengeni ukute amesema nini π π π
Upo sahihi, mimi pia nimewaza hivyo hivyo.Partey sijui kama atakuwa na match fitness. Kwa sasa nafikiri Jorginho yuko fiti zaidi ila Partey ni mchezaji mzuri zaidi. Tuone itakuwaje.
Leo tunatakiwa tuwe na accurate passes nyingi ili kenge wakimbie wachoke, na kuwa effective kwenye box. Tuache masihara kwenye umaliziaji.Upo sahihi, mimi pia nimewaza hivyo hivyo.
Ila Jorginho ni risk kwenye kukaba. Chelsea ina wachezaji wengi wenye pace, so counter kwao ni option nzuri leo
shutka,hizo ndoto sio nzuriNimeona nije mapema kuwakumbusha nyie Punda wa kwenye mashamba ya mpunga, Leo tunawakanda bila huruma.......tukiwasamehe sana basi tunawatia DUDU hiziiiiii.......Mbili (2), lakini kama POCH akiwaambia madogo ule msemo wa NO MERCY, basi ninauhakika mashabiki wa asenyani (Punda wa kwenye mashamba ya mpunga) wote mtazima TV na wengine kutoroka vibanda umiza.