Aeko
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 599
- 1,362
Na mkisema mwakani city ata drop kwa kucheza mind games zenu kisa aliondoka gundogan eti ata drop msimu huu silva nae ataenda then guess what
kuna hawa potential target wa city
1 jamal musiala mkataba wake upo ukingoni na hataki kuongeza mkataba japo anahusishwa sana na barca kwenda kuleta upinzani kwa madrid
2 lucas paqueta... huyu ilikuwa atue msimu uliopita ila kwa skendo zake za kubet deal lika collapse wakaamia, kwa covaci ila kwa sasa all allegations are cleared and rumors city are in advanced stage with signing him
3 florian writz japo huyu uwezekano ni 5/10 bado anweza salia Leverkusen msimu mwengine mmoja hii ni the new Germany tony kross model ya kizazi hiki
mnapojipanga msisahau na wahuni nao watajipanga na mwakani mtasema mlichukuaje point 4 kwa city