United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,234
- 6,597
dogo watu tumaengalia fainali za Euro mwaka 2000 kati ya France na Italy uzangumzia Sheikh mansoor aliyemeleta Robert Sant Cruz Kutoka Blackburn Rovers juzi niheshimu kidogo basi ata kama nimekoseaYeah! Anachanganya huyo na wenzie wote walioanza shabikia mpira kipindi sheikh mansoor anainunua city
Naona kama vile humuoni Chelsea ila nakuambia Chelsea lazima amle uroda AssAnalBado ana game na Tot na man u hah
Bado ana Chelsea, man u,tot,Bournemouth hah
Wewe bado sana, mimi nimeangalia fainali za world cup 1994dogo watu tumaengalia fainali za Euro mwaka 2000 kati ya France na Italy uzangumzia Sheikh mansoor aliyemeleta Robert Sant Cruz Kutoka Blackburn Rovers juzi niheshimu kidogo basi ata kama nimekosea
Kwendaaaa potea kabisa, mlikuwa na kelele sana mbwa nyie.Duuh!!! Na hamu ya kucheki kitu kinaitwa mpira ndo imeishia hapa Kwa msimu wa 23/24
ile haikuwa kazi ya Rice, ilikuwa kazi ya Martinel kum make winger mwenzie, na ukiangalia move utaona mwanzo alikuwa yuko nae na ghafra akamuacha na kurudi ndaniGoli la kwanza Rice sijui alikuwa anawaza nini.. tired legs? Hapana, alikosa umakini.
Arse88 fungu la kukosa, wachezaji kibao wameondoka Arse88 wakaenda kubeba makombe, SAKA atazeeka anaona makombe kwnye Luninga.xhaka katoka arsenal kaenda zake Leverkusen kujibebea kombe
alijua tu huku hamna kitu ni full false hopes its sad
Leo inabidi nilale mapema nipooze kichwa
Hakuna kulala leo fimbo tu kudaaadeki.Leo inabidi nilale mapema nipooze kichwa ππ
Hu
Hilo suala ndio sitaki kusikia π, usumbufu gani huo, yaani akawe msumbufu kuliko jesus, jesus mzuri akiwa na mali na hata bila mali.
Arteta akubali tu hapa kwa kai alipigwa. Na leo watuache tusiomkubali kai tutambe, wao huwa wanatamba saana anapobahatisha, unaweza kusema kai ndio bora duniani.. mie nakwambia yule kai kwenye timu yangu ya mtaani ya malegend(maveteran) hapati namba mchezaji hana skills, hana mnyumbuliko yupo yupo tu anacheza mpira basic mnoo, na kwa nafasi yake inahitajika zaidi ya hayo mtizame odegaard, jitu linakimbia kama lina gunzi matakoni.
Game ilimuhitaji partey ye akatoa odegaard serious, kisha likai likabaki ndani, sawa akataka atumie mipira ya juu je ana ubora huo.
Mie niko pale pale kai ni big NO hata kama akifunga goli 100 kwa msimu, anahitaji kujiupgrade.
Mbona declan rice hatumsemi, kuna mtu nilibishana nae saana yeye rice mie partey, ni kweli kwagu bado partey ni bora lakini kazi ya rice si ya kubezwa, nimekubali mziki, sio kwa huyu ngongoti
Hu
Hilo suala ndio sitaki kusikia π, usumbufu gani huo, yaani akawe msumbufu kuliko jesus, jesus mzuri akiwa na mali na hata bila mali.
Arteta akubali tu hapa kwa kai alipigwa. Na leo watuache tusiomkubali kai tutambe, wao huwa wanatamba saana anapobahatisha, unaweza kusema kai ndio bora duniani.. mie nakwambia yule kai kwenye timu yangu ya mtaani ya malegend(maveteran) hapati namba mchezaji hana skills, hana mnyumbuliko yupo yupo tu anacheza mpira basic mnoo, na kwa nafasi yake inahitajika zaidi ya hayo mtizame odegaard, jitu linakimbia kama lina gunzi matakoni.
Game ilimuhitaji partey ye akatoa odegaard serious, kisha likai likabaki ndani, sawa akataka atumie mipira ya juu je ana ubora huo.
Mie niko pale pale kai ni big NO hata kama akifunga goli 100 kwa msimu, anahitaji kujiupgrade.
Mbona declan rice hatumsemi, kuna mtu nilibishana nae saana yeye rice mie partey, ni kweli kwagu bado partey ni bora lakini kazi ya rice si ya kubezwa, nimekubali mziki, sio kwa huyu ngongoti kai
Uzuri upi huo unazungumzia, labda kuwafunga Arsenal. angekuwa tactician mzuri sidhani kama angeruhusu gape kubwa la points na walio juu. Ni midterm kocha tu kama wengine.. Na nafikiri Arsenal walichukua maamuzi sahihi kabisa kuachana nae kwasababu hakukuwa na falsafa yoyote aliyokuwa amepandikiza kwenye timu.. Pengine kufukuzwa Arsenal kulimfanya ku reevaluate carrier yake zaidi.Tuliwaambia Emery ni tactician mzuri kuliko Arteta na mngempa ushirikiano mzuri kama anaopewa Arteta, angewapa makombe kadhaa yenye hadhi. Mkakazania kucheza sexy football isiyo na matokeo ya maana. Haya, arteta kapigwa home and away na Emery lakini akija yule tapeli wa man utd anayejiita shabiki wa arsenal analeta takwimu uchwara bila makombe.