Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nilijua tu Arsenal kuna mechi watabananishwa, bado London Derby na Old Trafford kumalizia ndoto za ubingwa.

TROPHYLESS, AGAIN!!!
 
Kosa lilikuwa kuanza bila kiungo mtuliza timu. Jorginho mzima partey mzima unaanzaje na kiungo kile... ainabidi akubali mmoja wao kati ya jesus au kai aanzie bench
Kuna vitu hata Ordinary kocha anajua afanye nini.. Inashangaza kwanini timu imeingia uwanjani bila kuwa na Thomas Partey au Jorginho
Bro utagombana na watu humu ukimsema Kai Havertz... Maana kuna watu humu wanakuambia anawasumbua sana mabeki
 
kuna jamaa humu anaitwa Henry tangu mechi za awali alikuwa anasema ni heri akae Liverpool hapo juu kuliko kumzidi city point moja

sijui umelewa.... pep ukimzidi point moja achania mbali akae hapo juu kabisa jihesabie kasha kuacha kimahesabu
 
Hamiis 77 ni pure Manchester united fans its sad wakina mkorea castr henry computer arsenal wote wanashindwa kuliona yule sio pure arsenal fan kama wakina computer arsenal

kwa sasa yupo uko anachekea chooni akirudi hapa anakuja na statistics za jinsi kai alivo kuwa akisaidia LCM kum overload aston villa then viremba wake wanaona hopes za ubingwa kupitia yeye
 
Kuna hii page msimu uliopita ilipost kushangilia kua top tukapoteza next games.

Last week kapost tena.

Leo tunapoteza games
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…