dah inaumiza sana pole man muda si mwingi nliumia hivihivi acha tuu poleni sana sasa hapa ni tuunde kamati za maombi mabaya kwa kipara hamna namna kwa match zilizobakia.
Kosa lilikuwa kuanza bila kiungo mtuliza timu. Jorginho mzima partey mzima unaanzaje na kiungo kile... ainabidi akubali mmoja wao kati ya jesus au kai aanzie bench