Hii shida sijajua kwa nini Arteta haiaddress kila siku. Hakuna timu itakusubiri upange mashambulizi hadi kwenye nyavu huku wanakuangalia tuu.
Juzi mechi ya Madrid v City inaamuliwa matokeo na long shots, na nadhani hiyo ndiyo namna rahisi na nzuri kumstukiza mpinzani. City mechi zake nyingi magoli ni ya mbali kwanza kisha akisha tangulia atakufunga anavyotaka sasa