Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Safi, tuchel anaongea uhalisia

Angekua seven hang Sasa
 
Yupo fit ,mechi na Luton aliuwasha sana pale kati, pass after pass za ku break lines
Hajacheza muda mrefu consistently. Asije akakata pumzi dk 35 😁. Ningependa aanze mbele ya Jorginho kwa sababu Jorginho wanaweza kumzingira akashindwa kufanya maajabu yake ila Partey naona ni mjanja mjanja hata akizingirwa huwa anawaponyoka wapinzani. Arteta alisema kwenye presser kuwa anamkubali sana Partey na hana mpango wa kumwachia.
 
Leo tunaanza na forward Nketiqh🤠🤠
 
Hofu yangu ni namna ya kuikabili front three ya bayern.
Wana wings za gnabry na sane,hawa watu ukikutana nao kwenye usiku wao wanaweza kukulaza na viatu.
Harry cane ni target man mzuri hasa kama musiala akipata proper movements kwenye final third yetu.

Tunahitaji nidhamu ya hali ya juu mno.
Atmosphere ya league na tournament ni tofauti.
Natarajia kuiona bayern tofauti.
Hawana cha kupoteza ila wanaona kitu wanachoweza.
They will give it all to justfy ukubwa wao.

We are arsenal
 
Mnafikir Bayern ni Luton? Mnaongea as if mnaenda kucheza na Luton, eti "wakija tuwapge then kwao 2karelax" nyie kweli kondoo.
Subiria kesho mnacheza mkuu na mtqshinda🤠🤠🤠...Enzo na Caicedo watapiga mpira mkubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…