So far so good ukizingatia uzoefu mdogo wa Santos - Chamberlain na Frimpong bado tuko poa , tukiweza kupunguza kona na free kick naona hii mechi tutashinda.
Chamakh kama kawaida yake sijui kapatwa na nini? Arshavin naye anapoteza mipira kizembe kabisa na ni mvivu kurudi kusaidia ulinzi.