Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wachezaji wetu wanahitaji sana kujifunza kutumia nafasi zao.tunapoteza nafasi za wazi nyingiiiiiiii mno.

Wenger inabidi awape somo kwenye swala la kupoteza nafasi.

Point 3 muhimu sana leo , hongera kwa gooners wenzako.

I hope tutaendeleza matokeo mazuri jumatano.
 



Acha kudandia train kwa mbele mkuu! Nilikuwa ninamjibu Manda kuhusu red card ya Torres, sio hiyo ya Bolton....soma tena kabla haujaandika kishabiki.
 
Acha kudandia train kwa mbele mkuu! Nilikuwa ninamjibu Manda kuhusu red card ya Torres, sio hiyo ya Bolton....soma tena kabla haujaandika kishabiki.

Haya mkuu shukrani lakini hii ni treni ya arsenal. sijadandia
 
Jamaa huyo ushabiki wa timu mbele alafu ndio mpira.hapo unapoteza mda tu kumuelezea anajua yote. Sema ushabiki wa timu ndio unamfanya hawe kipofu.


Kumbe na wewe ni mzee wa kudandia issues bila kujua chanzo.!! Sijaongea kuhusu kadi ya Bolton, nimeongea kuhusu kadi ya Torres baada ya kuulizwa na Manda, what's wrong with that?!!!! Au ndio matatizo ya baada ya vipigo vya muda mrefu?!!!! Anyway, hongerenei kwa ushindi.
 

Kweli Mkuu timu inahitaji ushindi wa mechi kama tatu au nne mfululizo ili kupata confidence
 
Hongereni watani ila mlitakiwa kushinda nyingi bado tatizo la maamuzi na kupoteza chances bado............
 

Nilisoma post ya mtazamaji. Offcourse redcard ya Torres refa kachemsha pale.Niliona
 
[TABLE="class: indextable, width: 0"]
[TR="class: r1, bgcolor: #FFFFFF"]
[TD="class: c1"]12[/TD]
[TD="class: c2"]Arsenal[/TD]
[TD="class: c3"]6[/TD]
[TD="class: c4"]-5[/TD]
[TD="class: c5"]7[/TD]
[/TR]
[TR="class: r2, bgcolor: #F6F6F6"]
[TD="class: c1"]13[/TD]
[TD="class: c2"]Sunderland[/TD]
[TD="class: c3"]5[/TD]
[TD="class: c4"]2[/TD]
[TD="class: c5"]5[/TD]
[/TR]
[TR="class: r1, bgcolor: #FFFFFF"]
[TD="class: c1"]14[/TD]
[TD="class: c2"]Norwich[/TD]
[TD="class: c3"]5[/TD]
[TD="class: c4"]-2[/TD]
[TD="class: c5"]5[/TD]
[/TR]
[TR="class: r2, bgcolor: #F6F6F6"]
[TD="class: c1"]15[/TD]
[TD="class: c2"]Wigan[/TD]
[TD="class: c3"]6[/TD]
[TD="class: c4"]-4[/TD]
[TD="class: c5"]5[/TD]
[/TR]
[TR="class: r1, bgcolor: #FFFFFF"]
[TD="class: c1"]16[/TD]
[TD="class: c2"]Swansea[/TD]
[TD="class: c3"]6[/TD]
[TD="class: c4"]-5[/TD]
[TD="class: c5"]5[/TD]
[/TR]
[TR="class: r2, bgcolor: #F6F6F6"]
[TD="class: c1"]17[/TD]
[TD="class: c2"]Fulham[/TD]
[TD="class: c3"]6[/TD]
[TD="class: c4"]-3[/TD]
[TD="class: c5"]4[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 15"]
[/TD]
[/TR]
[TR="class: r1, bgcolor: #FFFFFF"]
[TD="class: c1"]18[/TD]
[TD="class: c2"]Blackburn[/TD]
[TD="class: c3"]6[/TD]
[TD="class: c4"]-5[/TD]
[TD="class: c5"]4[/TD]
[/TR]
[TR="class: r2, bgcolor: #F6F6F6"]
[TD="class: c1"]19[/TD]
[TD="class: c2"]West Brom[/TD]
[TD="class: c3"]6[/TD]
[TD="class: c4"]-5[/TD]
[TD="class: c5"]4[/TD]
[/TR]
[TR="class: r1, bgcolor: #FFFFFF"]
[TD="class: c1"]20[/TD]
[TD="class: c2"]Bolton[/TD]
[TD="class: c3"]6[/TD]
[TD="class: c4"]-8[/TD]
[TD="class: c5"]3


[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 

At least its promissing.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…