Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mkuu natoa ahadi hmu jukwaani...Hawa wakitufunga hzo goli nitajitoa rasmi...na nitakukabidhi 100000/= taslimu...fedha za kitanzania
 
Unaimba sana taarabu .. ila bayern anakufa 4-1 pale emirates .. subir uone


Ww endelea kuishi jana na historia zako za kinjekitile ngwale
 
🤣🤣🤣 Sio kwa lengo baya bali ni katika kukumbushana tu maana binaadamu tumeumbiwa kusahau, miaka 8 iliyopita Bayern Munich ndie alie wafungisha virago kwenye michuano ya Uefa kwa fedheha ya kuwagonga goli 10.
 

Attachments

game ya arsenal na bayern munich nasubiri kuona bookies odds zitavokuwa japo naona ni kama vile hakuna favourite kumzidi mwenzie hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…