arsenal2004
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,328
- 4,315
Tunashukuru kwa taarifa mkuu...umeshashiba tambi unakuja kutufanyia Fujo sasa🤣🤣🤣 Sio kwa lengo baya bali ni katika kukumbushana tu maana binaadamu tumeumbiwa kusahau, miaka 8 iliyopita Bayern Munich ndie alie wafungisha virago kwenye michuano ya Uefa kwa fedheha ya kuwagonga goli 10.
game ya arsenal na bayern munich nasubiri kuona bookies odds zitavokuwa japo naona ni kama vile hakuna favourite kumzidi mwenzie hapo.
Mamelodi sio mtu mzuri kabisa🤓, Sema bahati ya fainali ndo huwa hanaNi kwel mpira unadunda lakini sio kwenye matopeView attachment 2935297
We kweli mwehu🤣🤓🤓, believe in arsenal bichwa neneView attachment 2935681
😂😂😂😂 mashabiki wa Arsenal mnajipa matumaini mkiangalia hii historia
I believe in Liverpool.We kweli mwehu🤣🤓🤓, believe in arsenal bichwa nene
Kukulism klop ndo yule ana timua🤣🤓, sijui mta fundishwa na mbuzi 🤣I believe in Liverpool.
YNWA
Tuna CEO ambaye ni Mastermind ana Akili kuliko Klopp na anajua mambo mengi uwe unapitia jukwaa la Liverpool huwa napost sana hizo habariKukulism klop ndo yule ana timua🤣🤓, sijui mta fundishwa na mbuzi 🤣
Tunashukuru kwa taarifa mkuu...umeshashiba tambi unakuja kutufanyia Fujo sasa
Tumeshatoa Gundu AFLMamelodi sio mtu mzuri kabisa🤓, Sema bahati ya fainali ndo huwa hana
Sisi hatuna msalie mtume safari hii...tutawadunda kama Ngoma wale watuMkuu ni tambi na maharage mixer lile kombe kubwa la uji.
Ila kuweni makini ndugu zangu huyu Bayern akikufunga ni kama vile anakuachia na laana kabisa ya haya mashindano, ingawa kweli tembo yuko mtini ila hatutaki tuwakose kwenye hii michuano kwa miaka 8 tena mingine ijayo. View attachment 2935704