Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ni suala la muda tu ,False hopers kama wewe mtakimbia hiki kijiwe Chenu ,
Ninyi huwa hamnipi shida kabisa , plastic fans WA Arsenyetoz
Ngoja tu

Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
Kama ww hujakimbia kule kwa wavuta bangi wenu basi na sisi hmu tupo sana.... Chelkenge hamtusumbui...tunaomba tukimaliza na City tuje na nyie maana naona mechi ile waliipeperusha kienyejienyeji...tuwakande kwanza kidomodomo kiishe
 
naam hii ndio ligi ya mabingwa huu upande wa kina bayern/real/man c/asenal ndio unaonekana utatoa bingwa...binafsi nawaona siti wakipiga mtu kipigo cha mbwa koo halafu sasa huku bayern na asenali hii ngoma atakama arteta atatoboa akikutana na siti shughuli inakuwa imeshaisha 😎
 
De Bruyne nje miezi 2 huko...
 
Kama ww hujakimbia kule kwa wavuta bangi wenu basi na sisi hmu tupo sana.... Chelkenge hamtusumbui...tunaomba tukimaliza na City tuje na nyie maana naona mechi ile waliipeperusha kienyejienyeji...tuwakande kwanza kidomodomo kiishe
unaendelea kuota au sio , umkande nani wewe ,timu ya ushindi papatu papatu ,
Porto umeshinda kwa papatu ya penalty ndio uje ushindane na miamba ambao kila msimu wanafunga semi final ya uefa , miamba wamiliki wa kombe la UEFA kama Bayern
Toka usingizini wewe

Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…