Kuna watu walifikiri tumemleta Raya kwa ajili ya distribution yake tu. Hahahhaha (nacheka kwa dharaaaauuu). Arteta aliona mbali kenge nyie. Arteta akili mingi.
Kuna msumbufu alileta stats za kipa wa Porto na penalties. Eti anasave penalties. Kwani hizo penalties alizokuwa anapigiwa, ni ngapi zilipigwa na 'miamba ya London', almaarufu kama 'wababe wa EPL ?'