Wako vizuri aisee. Tuwaige mambo kadhaa hawa. Hata style yao ya kukimbia mbele kwenye free kick ili kuhakikisha wachezaji wetu wanabakinoffside nimeipenda
Mnashindwa wapi
Tumewapa Havertz na Jorginho ambao wana uzoefu na haya mashindano na hao Porto wanawajua vizuri
Tuongeze ya Sterling au Gallagher
Semeni