Naona hali ya Wenger inazidi kuwa mbaya!
Dah! Afadhali..Chamakh vp?1-1 gibbs kasawazisha.
Fuatilia posts zangu kwenye hii thread mkuu!Kwa mwaka huu i si mchezo. tusije kuwa ama Liverpool mwaka jana Lakini misimu kibai ya nyuma tumeanza vizuri tukashindwa kumalizia labda mwaka huu ni vice versa. teh teh teh
Hivi na wewe Rejao ni shabiki wa timu gani vile ?
Fuatilia posts zangu kwenye hii thread mkuu!
2-1 Charmbellein nasikia kwenye radio tu
Alex Oxlade-Chamberlain.... So good..... may be its tym up 4 AW to start starting this Kid.........
Wanaonyesha ya ManU naona. Ryo Miaichi anaingia ametoka ParkNaona game haioneshwi leo.
Na tuvumilie kaka 3-1 Benayoun amefunga. hakuna link inayoonyesha naonaKazi tunayo, kwa kweli confidence iko low, sana sana.
Ila ushindi lazima.
Kuna mtu ana link hapa ya mchezo?
Nimetafuta nimechoka!
Na tuvumilie kaka 3-1 Benayoun amefunga. hakuna link inayoonyesha naona