<br />Ila Mashabiki wa Arse8 mna Moyo!
<br />I told u guys, timu si mbaya kivile! We fielded a team without 8 first teamers yaliyotukuta ni history, leo jirani kaenda mkamilifu!
Inakuaje wakuu! Nina imani tutabounce back, jamaa bado hawajaelewana tu, tuna gemu against shrewbury jumanne carling cup.
ila hamna noma ngoja tuone gemu zingine ila msikonde ndio mchezo..
Pole sana kaka Wacha1..
Nilikua natazama game ya moja ya wababe wa EPL, kwa kweli ni enjoy mno, bila roho kunidunda! Ila Torres, kakosa kosa vipi lile goli?!
Labda Peasant atakuja humu kutujulisha! (Kama atakuja!).
Kuwa unatoa updates mkuu..Yeah! Naona Oxlade, park, benayoun, wanaanza ila Ryo yuko benchi..