Hii game AsaniNyau akishinda anajihakikishia kukaa nafasi ya pili kwa muda, ila kwa nnavyowajua hawa wazee wa false hopes game muhimu kama hii ataishia ku draw au anaweza kubondwa kabisa.
Wissa tayari ameshafungua mlango, kipindi cha pili Toney lazima afanye maangamizi.