Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Dubai mpango mzima kwa sisi wataalam wa ku-win duels
 
Siku za karibuni, shefield wame improve, kwa hiyo ni kuwa makini. Hawapark bus.
 
Kwa hiyo umesahau kwamba nyie kuku mlitutoa? 😀😀😀

Kwa afya ya akili yako mkuu, ondoka kwa hao makuku njoo kwa washika mitutu usizeeke vibaya 😀😀
🤣🤣🤣 Sasa hapo nani anaezeeka vibaya? Yaani mtu ambae timu yake imekutoa kwenye mashindano unataka ahamie kwenye timu mbovu iliyotolewa.
Oyaaa Henry 14 jumapili tunaenda kudhalilika ujue? Kama vipi tuazimeni basi Gabriel Magalasa na William Salima walau hata tuambulie draw.
 

Attachments

  • 1691138263919.jpg
    358.3 KB · Views: 13
Yeye ndiye aliyesahau jambo kubwa maishani mwake. Jambo kubwa la liverpool kututoa kibahati bahati. Sasa hiyo ni ishara kuwa jamaa anazeeka vibaya.

Kuhusu mabeki wetu, nyie mna Omama na Halima Gwaya. Wanatosha kabisa kuwadhibiti mamacita. Mshindwe wenyewe tu.
 
Mwaka jana Odegaard alichaguliwa kuwa London Premier League Player of the year.
Mwaka huu ni Declan Rice.

View attachment 2920930

Wazito wa jiji, ze ganaz.
Baada ya mechi ya Porto tutakuwa na wiki tatu za mapumziko...mechi ya Chelsea imepelekwa mbele...ni muda mzuri sana wa kuwa na wachezaji wetu wte wakiwa fiti...
Litakuwa ni ajabu la nane la Dunia kama Manunu wataambulia hata sare pale Etihad🤠🤠...
 
Siku za karibuni, shefield wame improve, kwa hiyo ni kuwa makini. Hawapark bus.
Hawa ndo wazuri kucheza nao maana hawakai nyuma na wataacha matobo🤠🤠...wakikaa vbaya wasije wakatulaumu...maana sikuhzi tukishadumbukiza mpira nyavuni ndo tunakuwa tunawehuka zaidi na kuja msobemsobe
 
Huyu Alonso ana Jambo lake.

Bayern Leverkusen broke Bayern Munich(32 games) record of longest unbeaten run achieved in 2018/2019 season in their 2-1 victory against Mainz 05.

Xabi Alonso's men are 33 games unbeaten which is the new German record.
  • 29 wins
  • 4 draws
  • 97 goals scored
  • 24 goals conceded
  • 8 points clear at the top
*Through to pokal ½ final
*In the Europa league Round of 16

what a season for Bayern Leverkusen🔥
 
Baada ya mechi ya leo Brentford atakutana na sisi naiangalia form yake na nafasi anayoshika nafikiri akipoteza game ya leo itamtrick kuresort kwenye mchezo wa kupaki basi 100% ili asiendelee kuserereka
 
Wahuni kama wamechomoa hii ya leo, mi binafsi nishakata tamaa. Na ratiba yetu ilivyo ya kinoko. I'm out
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…