Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kombe ambalo sina ni UEFA tu....kombe la chai kwli sina maana sijawahi kushiriki Hilo kombe🤠🤠...natamani turudie tena mechi na nyny maana ile mnasema tuliwaotea ndugu zetu
Na bado ntapiga domo halafu baadaye mikono mitupu mnatoka.

Saka hadi atakuja kustaafu atasikia tu redioni namna gani ushindi wa arsenal pale Anfield unafananiaje .
 
Na bado ntapiga domo halafu baadaye mikono mitupu mnatoka.

Saka hadi atakuja kustaafu atasikia tu redioni namna gani ushindi wa arsenal pale Anfield unafananiaje .
Msimu ujao tunakuja kuwabonda palepale kibarazani kwny...Klopp amestukia hili akaona ajiondokee zake asije akachafuliwa record yake...hyo kocha mnayemleta namuomea huruma kwakwli 🤠🤠🤠
 
Sasa kipa unaumia miezi yte hyo unatafuta nn🤠🤠🤠...hizi ni sababu watakuja kuzitumia wakishatoka kapa kwmba kipa letu la Dunia halikuwepo ndo maana tumetoka patupu
Van Dijk naye akipata pancha tu....tunafunga mahesabu ya msimu tena
 
uzuri wa ASENYO domo wanapiga wao kombe wanabeba wengine.

Nawakumbusha mna miaka 20 (2024-2004=20) hamjagusa kombe lolote kubwa narudia tena Lolote lile.
sasa Miaka 20 Umri wa mtu mzima alieanza kudondosha sabuni bafuni kisa nyeto.
 
Na tayari Allison Beker nje miezi 2 na inaweza kwenda hata mitatu kabisa

Taarifa zaid kesho

Hawa kuku ni swala la muda tu wanatoka hapo juuView attachment 2906381
Timu toka aje mawigi kubond haina kikombe chochote Cha maana
Wenzenu tunaenda kubeba Kwa mara nyingine vyote vilivyo mbele yetu.
Ni juzi kati tu hapa tulichukua EPL,, nyie mmechukua lini?

Na tupo kileleni.
 
Sasa kipa unaumia miezi yte hyo unatafuta nn🤠🤠🤠...hizi ni sababu watakuja kuzitumia wakishatoka kapa kwmba kipa letu la Dunia halikuwepo ndo maana tumetoka patupu
Mnaodiscuss hayo ni nyie Arseniwali
Sisi wenzenu wala hiyo kwetu siyo big deal.
 
uzuri wa ASENYO domo wanapiga wao kombe wanabeba wengine.

Nawakumbusha mna miaka 20 (2024-2004=20) hamjagusa kombe lolote kubwa narudia tena Lolote lile.
sasa Miaka 20 Umri wa mtu mzima alieanza kudondosha sabuni bafuni kisa nyeto.
Naona umeamua kuweka na hisabati kabisa hapo ili Manyumbu watakaotembelea huu uzi wajue umepataje miaka 20.

Miaka 20 kwenye mpira tumejifunza si mingi. Kimzaha mzaha tu unashangaa imefika na wadau watapiga domo balaa kuwakumbusha. Manyumbu wana hatari ya kujikuta na hali hii wasipojirekebisha.

Sisi katika hicho kipindi tumeambulia FA cup na kukosa kosa Champions league. Manyumbu wana carabao cups za kuzugia.
 
😁manyumbu pia yana muda alooh! Kwasasa Arsenal itaanza kuchukua EPL kabla ya NYUMBU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…