Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Yeye na Edu wakija kumaster haswa usajili basi makombe yatakuja kwa wepesi
 
#artetaout namaanisha wale ambao hawajatpsheka na mchango wake, hata kama siyo afukuzwe. Wale ambao tunataka tisini lakini tunaona kama jamaa anatupa hamsini tu...
 
Yeye na Edu wakija kumaster haswa usajili basi makombe yatakuja kwa wepesi
Kimbinu yuko poa ila watu hawatoshi? Tena na majeruhi kwa wachezaji muhimu? Unaona kama ana mbinu za kutosha?
 
#artetaout namaanisha wale ambao hawajatpsheka na mchango wake, hata kama siyo afukuzwe. Wale ambao tunataka tisini lakini tunaona kama jamaa anatupa hamsini tu...
Arteta Hadi sasahivi kama kocha kazi yake kaifanikisha kwa asilimia kubwa tu.

Arsenal ikicheza unaona kabisa hii timu inacheza kimahesabu na structure, tofauti na kama mahirani zetu wa untumbuni.

Ukiangalia hata mechi tunazopoteza, tunapoteza kwasababu wachezaji wetu hawatumii nafasi. Nitajie mechi mbili za haraka haraka ambazo mpinzani ametu dominate / outplay.
Tofautisheni ubovu wa kocha na ubovu wa wachezaji
 
Kwa kweli sikumbuki mechi nayoweza kusema tulikuwa dominated. Nadhani mechi niliyoona ilitusumbua ni ile ya Spurs maana walikuwa wanapita press yetu kama hatuwakabi vile. Niliona kama ile mechi tulitakiwa kufungwa ila tulipata sare.
 
Kimbinu yupo sawa ila watu hawatoshi.

Hata dhidi ya timu zinazopaki basi bado Arsenal tunatengeneza chances. Hatuna ST na hatuna long shot merchant
Hawezi kukomaa na training ya finishing na long shots? Tunazagaa sana nje ya box la mpinzani. Tunakuwa na wachezaji 4 sometimes nje ya box lakini hawapigi. Kwa nini wasiboreshe upigaji mazoezini? Ingawa hata Wenger alikuwa hapendi shots za mbali kwa sababu kitakwimu matokeo yake hayakuwa mazuri
 
Kwa kweli sikumbuki mechi nayoweza kusema tulikuwa dominated. Nadhani mechi niliyoona ilitusumbua ni ile ya Spurs maana walikuwa wanapita press yetu kama hatuwakabi vile. Niliona kama ile mechi tulitakiwa kufungwa ila tulipata sare.
Sio kama umechanganya mechi ya spurs na Chelsea!!?? Mechi ya spurs tulikuwa tunachomolewa kwa makosa binafsi ya wachezaji ikiwemo kosa la joginho kutoa boko. Ila mechi ya Chelsea ndo kila mtu alijua hatutoki hiyo gem maana Chelsea alitushika sana na wakatutangulia kwa goli mbili
 
Ya Chelsea sikuiangalia. Namaanisha hivyo hivyo ya spurs kama nilivyosema.
 
Msimu huu wale big six sijui big four hakuna aliyetufunga Arteta amejua kuzicheza hizo mechi.

Sio rahisi kama ulivyosema.
Kumbe ,unacheza na city yenye midfield ya kovasic na lewis unashinda goli moja tena dakika za mwisho ,nafikiri etihad utaiona show ,tena hao watu wasiwe juu ya table wanakuwa wakatili kwenye mechi za kuongeza gape kama hizi.
 
Kaa kwa kutulia, city tunampigia pale pale Etihad
 
Kumbe ,unacheza na city yenye midfield ya kovasic na lewis unashinda goli moja tena dakika za mwisho ,nafikiri etihad utaiona show ,tena hao watu wasiwe juu ya table wanakuwa wakatili kwenye mechi za kuongeza gape kama hizi.
Wewe ni mjinga , kwani yeye anaponifunga anakutanaga na Arsenal ipi?

Arsenal tumecheza na mancity mara 2 msimu huu

Zote kafa
 
Kama unamuondoa Arteta kwasasa ,kocha pekee anayeweza kufanya hiki kwasasa au zaidi basi ni Pep Guardiola

Hakuna mechi msimu huu mpinzani katoka anasema nime wa outplay arsenal hata tulizofungwa

Ndio maana hata mechi vs Liverpool ya FA a lot of people walisema Liverpool akija Emirates atakutana na pumzi ya moto

Ila kwasasa utengenezaji wa nafasi umeimarika sana ,

Nusu ya magoli tulizofungwa had Sasa ni Bozo gene, au makosa binafsi ,

Hadi Sasa ilikuwa tuwe tumefungwa angalau goli 10 tu
 
Yeye na Edu wakija kumaster haswa usajili basi makombe yatakuja kwa wepesi

Arteta and Edu do not have fund to buy players they like. Trump card on when to spend is in kroenke’s pocket. I am absolutely sure they need more players with winning mentality.
They cant come public to explain all these
 
eti mzee Wenger alikua anampika kijana wake, kijana nakupa mfano mdogo tu wa hapa nchini kwetu.
Wale wanafunzi waliofeli form 4 na 6 ndio wengi wanasomea ualimu na kuajiriwa kufundisha katika shule zetu, je unaona matokeo ya elimu yetu jinsi ilivyo kutoka na kufundishwa na waalimu ambao walikua ni failure?
Kama mwenyewe umekubali mzee Wenger alikua ni specialist in failure basi Arteta nae ni Masterclass in failure.
Wenger na Arteta ni walimu wazuri kufundisha timu za Academy ila kwa timu daraja la kwanza kila siku mtakua mnatukanana humu na kuonekana vituko, tafuteni kocha wa kueleweka otherwise kama wenyewe mmeridhika ubingwa wenu ni kuingia top4
 
Ndugu kuifunga city yenye Rodri ni NGUMU kulingana na takwimu,ukimuongeza KDB na fit Halland inakuwa NGUMU ZAIDI.kipara akiingia mechi hiyo yuko juu ya table ni NGUMU KULIKO
Hongera sana ndugu yangu Lukub inaonekana wewe ni miongoni mwa mashabiki wachache wa Arsenal ambao hawaendeshwi na mihemko ya ki false hopes.
Hiki ulichokiongea ni kosa la jinai kwa false hopes wa humu sio ajabu wakaanza kukushambulia na kukuita mamluki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…