lugano GTB
Senior Member
- Oct 23, 2020
- 119
- 181
Haitasaidia mkuuBadili ID mkuu
Umesahau kuswitch accountKikundi cha wahuni hiki mpira hawajui.
Arteta ndo pimbi namba moja.
Unashabikia timu hata info za timu huna? Hujui kua uyo Vieira alikua majeruhi?Inakuwaje timu inataka kufunga goli zote kwa pasi hadi golini....tangu wamuuze shaka magoli ya nje ya 18 yamepungua na sijui kwa jinu hawapangi Vieira anajua magaoli ya mbali....Na striker no.14 apewe muda mwingi
poleUmesahau kuswitch account
Kabisa, kocha pimbi sana.Haitasaidia mkuu
Hii timu nimechoka kuivumilia
Kesho matokeo ya Ovyo yapo upande mmja tu, january ndo hii wanakula zao bakora 3 chaliii.Kesho ni vs crystal palave, game ya mapema, mara nyingi huwa zina matokeo ya hovyo sana.
🤣🤣🤣 Mwaka wa 20 huu bila ya Epl wala kombe lolote la maana, timu tokea limeanzishwa miaka 800 iliyopita mpaka leo hii haijawahi kushinda kombe lolote la Ulaya halafu eti mnafanya festival, Masingeli hayo ni matumizi mabaya ya festival.TanzaniaRwandaKenyaUgandaTanzania Again
Its official, Arsenal Africa Fans Festival launch for 2024
Tukutane Hekima Garden saa 5 kamili asubuhi hii
Makamu wa Rais wa Arsenal Tanzania nitakuwepo
#TurudiDar2024 #ArsenalAfricaFestival2024View attachment 2877044
Hii hamjachelewa kutangaza?TanzaniaRwandaKenyaUgandaTanzania Again
Its official, Arsenal Africa Fans Festival launch for 2024
Tukutane Hekima Garden saa 5 kamili asubuhi hii
Makamu wa Rais wa Arsenal Tanzania nitakuwepo
#TurudiDar2024 #ArsenalAfricaFestival2024View attachment 2877044