Hamis katukosea sana amerudi kimya kimnya na mataarifa kibao yenye tija lakini kasahau kuchambua game na wagonga nyundo kiufupi hatujui tuliangukia wapi.Huzuni kwakweli
| Gabriel Jesus has suffered a knee injury, mail sport understands. The severity of the issue is unclear - but there is hope it will not be a long-term problem.
Asenyetoz nawasubiri kwa hamu leo mkung'utwe na majogoo
Hamis na genge lako ,leo tena kazi mnayo , tutakaza nzi humu
ole wako ukimbie na kujificha kwenye mapango ,tunataka uwe unashusha takwimu zako za kitapeli wakati mnapewa kisago na majogoo aka kuku vishingo
| Gabriel Jesus has suffered a knee injury, mail sport understands. The severity of the issue is unclear - but there is hope it will not be a long-term problem.
White nae anachezaga KICHOKO,binafsi Cedrick ni mzuri kuliko hata huyu White,ARTETA aache UCHOKO kumilikisha namba wachezaji kama Ben White wakati anachomeshaga tu