Naswali kwa gooners, hivi mpka Leo chini ya Arteta kuna kijana yoyote kutoka academy amepata game time mpka sasa !???
Binafsi sijaona, niliwasubili sana, watoto hawa kuitwa Senior team, wakichafue ha FA.
1 Amario Cozier-Duberry ).
2 Miguel Azeez.
3 Charlie Patino.
4 Ethan Nwaneri( huyu still 16, labda umri).